Magufuli ndio Rais ambaye hakuacha legacy yoyote

ngara23

JF-Expert Member
Aug 31, 2019
9,697
22,243
Katika kumbukizi ya miaka 4 Toka aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 Hayati Magufuli atutoke

Magufuli ni Rais ambaye hakuacha Legacy yoyote hapa nchini na badala yake alituachia mzigo ambao Rais Samia anapambana kusawazisha mambo

1. Aliharibu upande wa diplomasia
Magufuli ndo aliwaita wawekezaji mabeberu na kuwaona wabaya na kuwatangazia kila jina baya.
Alisema wazi kwamba yeye hataki Tanzania, hakuwahi kuhudhuria vikao vya kidplomasia popote
Alipika propaganda za uongo ati hakuna covid 19
Baada ya Rais Samia ndo alijitahidi kutembea na kuwaleta wawekezaji ambao Kwa Sasa angalau kidogo tunaona nuru

2. Kuharibu democrasia
Magufuli alipiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa, ili asikike yeye tu ndo propaganda zake za kuita watu wanyonge
Vifo vya wapinzani wengi kama Azzory Gwanda, Ben Saanane n.k
Kupigwa risasi Kwa Tundu Lissu
Kusingizia kesi na kufunga watu waliompinga kama Yusuph Manji na Kabendera

3. kuuwa uchumi wa Taifa.
Magufuli ndo alinunua ndege 8 bila kushirikisha bunge na Kwa maamzi yake binafsi baadae ndege zote zikawa mbovu na kuishia karakana.
Alishindwa kutambua kuwa mahitaji ya wananchi sio ndege Bali ni miundo mbinu ya afya, barabara, madaraja n.k
Alimfukuza makampuni Shindani ya ATCL kama Fast jet
Shirika la ndege lilifirisika na Sasa mama Samia ndo analifufua taratibu

4. Kuzuia ajira Kwa vijana
Magufuli ndo alifungwa ajira za umma, hasa ualimu na afya
Na kusababisha vijana waliotoka kaya masikini kurundikana mtaani bila suluhu
Mamilion ya graduates wako mtaani sababu ya sera mbovu za Magufuli.
Pongezi Kwa Rais Samia anajaribu kupunguza japo mzigo ni mkubwa

5 Kodi Kandamizi
Magufuli aliwakandamiza wafanyabiashara na wananchi Kwa ujumla kulipa Kodi utitiri hapa wafanyabiashara wengi wakifunga biashara na wengine kumhamisha biashara zao kwenye mataifa mengine.
Magufuli alianzisha Kodi Kwa wafanyabiashara wadogo kama kitambulisho ambapo hata muuza mboga alilazimika kulipa Elfu 20 ili afanye biashara

6. Kilimo na uvuvi
Utawala wa Magufuli tulishuhudia kudorora la soko la mazao
Mfano kwetu Kagera tuliuza kahawa kg sh 900 ila kipindi cha Samia tumeuza sh 7000
Magufuli alikuwa sekta ya uvuvi akishirikiana na waziri wake Luhaga Mpina, fika Kanda ziwa, Zanzibar, Nyasa na Kigoma hawataki kusikia jina la Magufuli

7 Matumizi mabaya ya madaraka.
Sio tu Hayati Magufuli alitumia madaraka yake vibaya ila pia wateule wake mfano Sabaya
Sabaya alikata watu vipanja, alichoma watu moto, alinyanganya watu hela na alijisifu kuwa ni DC pekee angeweza kumpigia simu Magufuli usiku wa manane na akapokea
Wakuu wa wilaya walitumia mamlaka Yao vibaya na kuwaweka mahabusu wapinzani Kwa masaa 24 ilikuwa kama fashion kipindi cha Hayati Magufuli
Wala hakukemea

8 Kula hela maafa ya Bukoba
Kipindi cha utawala wake Bukoba walipata tetemeko na akaitisha michango Kwa ajili ya watu wahanga
Cha ajabu aliwakana na kusema serikali haikuleta tetemeko

9. Magufuli alihujumu uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu 2020
Mtu mwenye akili timamu anajua wazi kuwa CCM haiwezekani kushinda vitongoji, vijiji/ mitaa, kata na majimbo yote
Lakini Kwa Magufuli alifanya hivi kuiba na kudhulumu Imani ya Watanzania

10. Alianzisha miradi isiyoisha.
Mfano SGR Kwa miaka yote alokaa madarakani mbali na kujenga SGR kipande lakini hakununua hata kichwa kimoja cha train

JNHPP
Huu mradi licha ya kuimbwa na machawa wake, lakini hakuna ulipoufikisha, aliacha mifereji, vifusi na tractor zikiwa site miaka nenda Rudi.
Umeme unajumuisha uzalishaji, kuhifadhi, usafirishaji na usambazaji
Yeye hata hatua ya uzalishaji hakuifikia

Haya ni baadhi tu
Binafsi nasema Magufuli ndo Rais ambaye hakufanya vyema katika utawala wake

RIP Hayati Magufuli
 
Katika kumbukizi ya miaka 4 Toka aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 Hayati Magufuli atutoke

Magufuli ni Rais ambaye hakuacha Legacy yoyote hapa nchini na badala yake alituachia mzigo ambao Rais Samia anapambana kusawazisha mambo

1. Aliharibu upande wa diplomasia
Magufuli ndo aliwaita wawekezaji mabeberu na kuwaona wabaya na kuwatangazia kila jina baya.
Alisema wazi kwamba yeye hataki Tanzania, hakuwahi kuhudhuria vikao vya kidplomasia popote
Alipika propaganda za uongo ati hakuna covid 19
Baada ya Rais Samia ndo alijitahidi kutembea na kuwaleta wawekezaji ambao Kwa Sasa angalau kidogo tunaona nuru

2. Kuharibu democrasia
Magufuli alipiga marufuku mikutano ya vyama vya siasa, ili asikike yeye tu ndo propaganda zake za kuita watu wanyonge
Vifo vya wapinzani wengi kama Azzory Gwanda, Ben Saanane n.k
Kupigwa risasi Kwa Tundu Lissu
Kusingizia kesi na kufunga watu waliompinga kama Yusuph Manji na Kabendera

3. kuuwa uchumi wa Taifa.
Magufuli ndo alinunua ndege 8 bila kushirikisha bunge na Kwa maamzi yake binafsi baadae ndege zote zikawa mbovu na kuishia karakana.
Alishindwa kutambua kuwa mahitaji ya wananchi sio ndege Bali ni miundo mbinu ya afya, barabara, madaraja n.k
Alimfukuza makampuni Shindani ya ATCL kama Fast jet
Shirika la ndege lilifirisika na Sasa mama Samia ndo analifufua taratibu

4. Kuzuia ajira Kwa vijana
Magufuli ndo alifungwa ajira za umma, hasa ualimu na afya
Na kusababisha vijana waliotoka kaya masikini kurundikana mtaani bila suluhu
Mamilion ya graduates wako mtaani sababu ya sera mbovu za Magufuli.
Pongezi Kwa Rais Samia anajaribu kupunguza japo mzigo ni mkubwa

5 Kodi Kandamizi
Magufuli aliwakandamiza wafanyabiashara na wananchi Kwa ujumla kulipa Kodi utitiri hapa wafanyabiashara wengi wakifunga biashara na wengine kumhamisha biashara zao kwenye mataifa mengine.
Magufuli alianzisha Kodi Kwa wafanyabiashara wadogo kama kitambulisho ambapo hata muuza mboga alilazimika kulipa Elfu 20 ili afanye biashara

6. Kilimo na uvuvi
Utawala wa Magufuli tulishuhudia kudorora la soko la mazao
Mfano kwetu Kagera tuliuza kahawa kg sh 900 ila kipindi cha Samia tumeuza sh 7000
Magufuli alikuwa sekta ya uvuvi akishirikiana na waziri wake Luhaga Mpina, fika Kanda ziwa, Zanzibar, Nyasa na Kigoma hawataki kusikia jina la Magufuli

7 Matumizi mabaya ya madaraka.
Sio tu Hayati Magufuli alitumia madaraka yake vibaya ila pia wateule wake mfano Sabaya
Sabaya alikata watu vipanja, alichoma watu moto, alinyanganya watu hela na alijisifu kuwa ni DC pekee angeweza kumpigia simu Magufuli usiku wa manane na akapokea
Wakuu wa wilaya walitumia mamlaka Yao vibaya na kuwaweka mahabusu wapinzani Kwa masaa 24 ilikuwa kama fashion kipindi cha Hayati Magufuli
Wala hakukemea

8 Kula hela maafa ya Bukoba
Kipindi cha utawala wake Bukoba walipata tetemeko na akaitisha michango Kwa ajili ya watu wahanga
Cha ajabu aliwakana na kusema serikali haikuleta tetemeko

Haya ni baadhi tu
Binafsi nasema Magufuli ndo Rais ambaye hakufanya vyema katika utawala wake

RIP Hayati Magufuli
Mkuu wewe ni Mchambuzi wa BBC au VOA? Kwa jinsi nilivyokusoma sidhani kama unatokea Jukwaa la Wahariri.
 
Mnh!!
 
😀😀 muacheni mzee wa watu amepumzika huko

1. Kawaachia SGR mmeifikisha wapi
2. Kawaachia mradi wa umeme Vijijini REA kwa 27000 saivi umepanda hadi 325,000
3. Kawaachia daraja la busisi hadi saivi limefikia wapi..?
4. Vipi ule mradi wa umeme wa mwalimu nyerere uliokua mkombozi kwa mwananchi kwa kupunguza bei naona unaendelea vizuri

Kweli magufuli alikua mjinga sana 😢
 
Hiyo laana ya kula hela ya Tetemeko itatafuna hadi kizazi chake cha 4, ulikuwa unyama wa kishamba sana!
 
😀😀 muacheni mzee wa watu amepumzika huko

1. Kawaachia SGR mmeifikisha wapi
2. Kawaachia mradi wa umeme Vijijini REA kwa 27000 saivi umepanda hadi 325,000
3. Kawaachia daraja la busisi hadi saivi limefikia wapi..?
4. Vipi ule mradi wa umeme wa mwalimu nyerere uliokua mkombozi kwa mwananchi kwa kupunguza bei naona unaendelea vizuri

Kweli magufuli alikua mjinga sana 😢
Hayo uliyoyasema ni suala la serikali
 
Back
Top Bottom