Wana jamii, Rais Magufuli ye ni nani kwa nchi ya zanziber kulingana na hali inayo endelea huko ya uchaguzi!?!?!
Vile vile rais PGM angekuwa ni rais wa Tanzania aliyepatikana kwa kutokea zanzibar je angekaa pembeni hivo hivo kama alivyo sema siasa za zanzibar haziingilii!?!?
Ni rais wa jamhuri ya tanzania hivyo haruhusiwi kicheria kuingilia mambo ya zanzibar kikatiba kumbuka kuna maswala ya muungano na mengine sio ya muungano. Kumbuka zanzibar wana katiba yao haiusu muungano