Magufuli kazaliwa Migodi ya Matabe Chato; Tupo tayari kwa passive resistance vs Acacia.
Nikutie moyo Raisi Magufuli, najua umezaliwa Chato ambapo kuna mgodi wa dhahabu wa Matabe - ukiwa unapita Chato mjini kwa mbele utaoma mchanga mwingi na nyumba za matenti au turubali.
Najua changamoto na ugumu wa maisha ya migodini unayajua.
Tumeambulia:-
UKIMWI
UMALAYA
HALI NGUMU YA MAISHA WATU WA MIGODINI
UKAME;
MATAJIRI WALIOIJENGA MWANZA KWA PESA ZA MADINI WOTE WAMEFILISIKA BAADA YA KUTIMULIWA MIGODINI KISA UWEKEZAJI. NYEUNGE, SHERATON N.K
Wanachofanya wenye migodi ni kuchangisha pesa za UKIMWI mlima Kilimanjaro.
Mgodi wa Tulawaka haujulikani mkoani Kagera ingawa upo mkoa Kagera; Hatuuzi nyanya wala nyama migodini, siku za weekend ndege inaruka toka mgodini hadi Dar ; wafanyakazi wanaspend Dar.
Sisi tunaomba kura watu wa migodini kama wawekezaji tunawahitaji ili wanaowaunga mkono Acacia waipate habari.
Watu wa ukanda wa Gold tupo radhi kuunga mkono Raisi wetu through PASSIVE RESISTANCE;
TUMESHINDA VITA TOKA MAJIMAJI, UHURU,VITA YA AMIN, NZUWANI, M23----- TUPO RADHI KUFUNGA MKANDA