Kwani unafikiri wachumi wetu hawafahamu hayo yote?, wanafahamu zaidi ya hayo ila vitendo vya viongozi wetu vimewafanya wakate tamaa na kuamua bora tule wote
mkuu uko vizuri, ila hapo namba nne ECOENERGY naomba maelezo kidogo maana hapo kumekuwa na kesi ya kuwataka wananchi waondoke ili mkulima alime eneo lote pamoja na wananchi baadhi kuomba kushiriki kwa kuzalisha miwa na kuwauzia.Ndugu wanajamvi.
Ninapenda kueleza kuwa nia ya serikali ya kuwa nchi ya viwanda vya kati inwezekana kabisa hasa akianzia na kuweka mkazo wa kuzalisha sukari nchini. Tukizalisha sukari Nchini tutapunguza kupeleka pesa za kigeni nje lakini pia Tutakuja afya na uchumi wa Ndani.
Wakati wa Big Results Now, wataalamu wetu walifanya upembuzi yakinifu kujua maeneo yanayofaa kwa kilimo cha miwa kwa ajili ya sukari. Ilibainika kuwa Tanzania ina ameneo 17 yenye Hekta500,900 zinazofaa kwa kilimo cha miwa na sukari (Angalia kiambatanisho).Hivyo tukiweza kunadi hayo Maeneo na watu wakaanza kuzalisha Sukari mbona nchi hii itafurahia uchumi kukua.
Ili kuhakikisha viwanda vya sukari vinashamiri na wakulima wadogo hawanyanyaswi basi nashauri yafuato:
1.Viwanda lazima viwe na uwezo mkubwa wa kula miwa kuliko wanacholima. Hii itasaidia kiwanda kutaka miwa ya wakulima wadogo
2. Serikali lazima iweke mkakati uliowazi wakuhakikisha viwanda hivi vinaanza. Watu wnaokwamisha sana kuanzisha viwanda ni NEMC. Hawa wanachukua hadi miaka 7 kutoa kibali (Wakiritimba kupita kiasi)
3. Serikali iweke miundo mbinu ya mmsinga kama Barabara na Umeme kuelekea maeneo ya uwekezaji.
4.Wakulima watakao chukuliwa ardhi yao basi wapewe hisa katika kiwanda.Mfano mzuri angalia concept ya inclusiveness ya ECoenergy Bagayomo. Hii itasaidia mkulima husika kuendelea kupata kipado milele.
5.Weka kodi ndogo kwa bidhaa hii inayozalishwa ndani na weka kodo kubwa kwa sukari kutoka nje.
Bahati mbaya sana, hii dhana ya kufanya Tanzania kuwa nchi ya kuzalisha sukari nchini, inapigwa na itaendelea kupigwa vita kwa njia moja au nyingine na watu wafuatao.
1.Watendaji wengi ndani ya serikali hasa wale wanaopata migao kutoka makampuni yanayoagiza sukari nje bila kulipa kodi. Hawa utawajua kwa kukwamisha jitihada za kuwekeza badala ya kuonyesha njia sahihi ni ipi ili nini kifanyike. NEMC wanaongoza wakisaidiana na PPP unit
2.NGOs za kitanzania au kimataifa zinazofadhiliwa na nchi ambazo soko lao la Sukari ni Tanzania. Hawa ni kama Haki ardhi. wao wanaanza kusema eti kulima muwa kutafanya watanzania waaje kuzliasha chakula, lakini hawaoni athari za kuagiza sukari nje
Magufuri uliza watu wa wizara ya kilimo, SAGCOT centre and Presidential Delivery Beureau. Ni kwanini ayo maeneo yaliyoanishwa wakati wa kipindi cha Big Results Now mbona hakuna kianchoendelea wakati wao wanakula mishahara minono. Majibu yao yatakusaidia ujue pakuanzia. Wape deadline kuhakikisha maeneo mazuri kwa kuzalisha sukari yanaanza kuwekezwa kwani wawekezaji wapo ila ukiritimba ndani ya Serikali umekuwa ni wimbo unaofurahisha badala ya kukerekesha.
Mh Rais, naamini ukipitia haya na ukayafanyia kazi, utajua kwanini Tanzania tuko hivi tulivyo.
Asante..
Wamege hifadhi ya misitu wasichukue mashamba ya watu. Kabla hawajazuia kuagiza sukari miundo mbinu yote inabidi iwe in place. Kwa bahati mbaya au nzuri kwa ufinyu wa mawazo ya watanzania walio wengi, imesahaulika kwamba kuna wengine wenye mahitaji ya sukari nyeupe yenye ukavu. Sukari ya Kilombero ina chenga nyembamba lakini ina kaubichi, ya TPC ni nene lakini kavu zote ni brown. Tusiwe narrow minded kwa kisingizio cha kukuza viwanda vinavyomilikiwa na wageni na mashamba yanayolimwa na wageni sisi tukabaki manamba/vibarua tunaambulia ujira mdogo na manyanyaso kibao!Ndugu wanajamvi.
Ninapenda kueleza kuwa nia ya serikali ya kuwa nchi ya viwanda vya kati inwezekana kabisa hasa akianzia na kuweka mkazo wa kuzalisha sukari nchini. Tukizalisha sukari Nchini tutapunguza kupeleka pesa za kigeni nje lakini pia Tutakuja afya na uchumi wa Ndani.
Wakati wa Big Results Now, wataalamu wetu walifanya upembuzi yakinifu kujua maeneo yanayofaa kwa kilimo cha miwa kwa ajili ya sukari. Ilibainika kuwa Tanzania ina ameneo 17 yenye Hekta500,900 zinazofaa kwa kilimo cha miwa na sukari (Angalia kiambatanisho).Hivyo tukiweza kunadi hayo Maeneo na watu wakaanza kuzalisha Sukari mbona nchi hii itafurahia uchumi kukua.
Ili kuhakikisha viwanda vya sukari vinashamiri na wakulima wadogo hawanyanyaswi basi nashauri yafuato:
1.Viwanda lazima viwe na uwezo mkubwa wa kula miwa kuliko wanacholima. Hii itasaidia kiwanda kutaka miwa ya wakulima wadogo
2. Serikali lazima iweke mkakati uliowazi wakuhakikisha viwanda hivi vinaanza. Watu wnaokwamisha sana kuanzisha viwanda ni NEMC. Hawa wanachukua hadi miaka 7 kutoa kibali (Wakiritimba kupita kiasi)
3. Serikali iweke miundo mbinu ya mmsinga kama Barabara na Umeme kuelekea maeneo ya uwekezaji.
4.Wakulima watakao chukuliwa ardhi yao basi wapewe hisa katika kiwanda.Mfano mzuri angalia concept ya inclusiveness ya ECoenergy Bagayomo. Hii itasaidia mkulima husika kuendelea kupata kipado milele.
5.Weka kodi ndogo kwa bidhaa hii inayozalishwa ndani na weka kodo kubwa kwa sukari kutoka nje.
Bahati mbaya sana, hii dhana ya kufanya Tanzania kuwa nchi ya kuzalisha sukari nchini, inapigwa na itaendelea kupigwa vita kwa njia moja au nyingine na watu wafuatao.
1.Watendaji wengi ndani ya serikali hasa wale wanaopata migao kutoka makampuni yanayoagiza sukari nje bila kulipa kodi. Hawa utawajua kwa kukwamisha jitihada za kuwekeza badala ya kuonyesha njia sahihi ni ipi ili nini kifanyike. NEMC wanaongoza wakisaidiana na PPP unit
2.NGOs za kitanzania au kimataifa zinazofadhiliwa na nchi ambazo soko lao la Sukari ni Tanzania. Hawa ni kama Haki ardhi. wao wanaanza kusema eti kulima muwa kutafanya watanzania waaje kuzliasha chakula, lakini hawaoni athari za kuagiza sukari nje
Magufuri uliza watu wa wizara ya kilimo, SAGCOT centre and Presidential Delivery Beureau. Ni kwanini ayo maeneo yaliyoanishwa wakati wa kipindi cha Big Results Now mbona hakuna kianchoendelea wakati wao wanakula mishahara minono. Majibu yao yatakusaidia ujue pakuanzia. Wape deadline kuhakikisha maeneo mazuri kwa kuzalisha sukari yanaanza kuwekezwa kwani wawekezaji wapo ila ukiritimba ndani ya Serikali umekuwa ni wimbo unaofurahisha badala ya kukerekesha.
Mh Rais, naamini ukipitia haya na ukayafanyia kazi, utajua kwanini Tanzania tuko hivi tulivyo.
Asante..
Kwa hiyo wewe kama wewe nini ushauri wako?Kwani unafikiri wachumi wetu hawafahamu hayo yote?, wanafahamu zaidi ya hayo ila vitendo vya viongozi wetu vimewafanya wakate tamaa na kuamua bora tule wote
Kama wenzako wanakula?Kwa hiyo wewe kama wewe nini ushauri wako?
Kapate ushauri toka kwa EdoKama wenzako wanakula?
Kama huwezi kuwashinda shirikiana nao mkuuKapate ushauri toka kwa Edo
Mdau hoja nzur,lakini je umejaribu kujiuliza pia manufaa ya viwanda vilivyopo kwa wazawa?ukienda Kilombero makaburu ndo wanaopata ujira mzur na positions za juu,wabongo ni manamba tu
Mdau,unadhan kwanini viwanda vinajengwa?lengo ni kuzalisha na kuongeza ajira,nijuavyo watu wakipata ajira watakuza pato la nchi,sasa kama una viwanda na raia wako wanabak kuwa manamba haina maana,kingine nikwambie hata hao wazalishaji pia sukar wanaisafirisha pia kwenda nje,na zama za JK iliwah kuripotiwa wazalishaj wa sukar wanaficha sukar.Sasa unaangalia usalama wa sukar nyingi while waajiriwa qanapiga miayo nani atakayenunua?Iliripotiwa kiwanda cha Dangote wazawa hawana kazi za maana wamejaa wahindi huko,unadhan kuna tija kwa wazawa hapo???M
mimi siangalii ajira hizi za mtu mmojammoja. mie naangalia usalama wa chakula nakukua kwa nchi. Hayo mashamba yakiwekezwa na wazawa au wakuja bado hela ya nje hatutaitumia kuagiza vitu kama sukari ila tuanweza kuagiza vitu vya maana kama mitambo. Hiyo inapelekea kuwa fedha nyingi za kigeni lakini na serikali kupata mapato ya ziada. Kunafaida nyingi zaidi za kuzalisha sukari nchini kuliko kuimport.
Hayo unayoyasema yanatokana ujinga wa viongozi wetu.Kunasheria zinasimamia ajira je zinasimamiwa kisawasawa. Lakini cha muhimu kwenye uwekezaji huu watanzania ndo inabidi tuchangamke. Mashamba hayo niliyo attach yanataka muwekezaji wa ndani au nje. So tukifanya sisi wenywe sitarajii habari ya umanamba kama pia tuna sifa na vigezo vya kiutaalamuMdau,unadhan kwanini viwanda vinajengwa?lengo ni kuzalisha na kuongeza ajira,nijuavyo watu wakipata ajira watakuza pato la nchi,sasa kama una viwanda na raia wako wanabak kuwa manamba haina maana,kingine nikwambie hata hao wazalishaji pia sukar wanaisafirisha pia kwenda nje,na zama za JK iliwah kuripotiwa wazalishaj wa sukar wanaficha sukar.Sasa unaangalia usalama wa sukar nyingi while waajiriwa qanapiga miayo nani atakayenunua?Iliripotiwa kiwanda cha Dangote wazawa hawana kazi za maana wamejaa wahindi huko,unadhan kuna tija kwa wazawa hapo???