MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,171
- 23,997
Huo ni mtazamo wako!Anatapa tapa!
Anatapa tapa!
kutoka kushoto ni Harun Zakaria,salim bakhresa,mzee mengi,mzee kikwete,gulam dewji(mo dewji father) na said shamo wa mbezi.
Sasa kama anawajua si awaite awakanye
Huree
Acha tumshangilie Rais wetu maana Hakuna kama yeye
Ameonyesha nia ya dhati kutukomboa na kupambana na UFISADI
Kuna watu bado hawaamini ila MOYONI WANAJUA ukweli kuwa Rais wetu tunamwombea na ndio kiongoz mkuu na mpaka ifike miaka 5 tutakuwa kwenye peak mbali sana... Eti mara ooh Rais anakururupuka yaani nyie mnadhani Rais hana washauri wa uchumi au labda hajui mambo yanavokwenda
Ishu ya sukari ni wajanja wachache
Kwa kuwakumbusha tu ni kuwa ile ahadi aliyotuahidi kipindi cha kampeni ya kuunda mahakama MAALUMU ya kushughulikia wezi imevamia.. Itaanza kazi July mwaka huu
Watu hawataamini ila ndio itakuwa hivo... DPP Mashauri yote anaendelea kuyaandaa
Wezi waliojificha cdm na wale walio ccm mjiandae
Kwani aliyetufananisha na nyani alikosea??Hawa 'wageni' mbona wanatupelekesha hivi?
Kwani aliyetufananisha na nyani alikosea??
Wakati akiongea na wananchi wa Jiji la Arusha, Rais Magufuli amesema biashara ya sukari inavyoendeshwa Tanzania ni kama biashara ya madawa ya kulevya kwa sababu inamilikiwa na kikundi cha watu fulani wachache ambao pia wanafanya kila linalowezekana ili wananchi wengine wasipate fursa ya kufanya biashara hiyo.
Rais ameenda mbele zaidi na kudai, ‘’kuna kikundi cha watu kimejipanga, watu fulani, group la watu fulani, kwamba wao ndio wafanyabiashara pekee wa sukari nchini’’.
Rais amewapa changamoto viongozi wa mifuko ya hifadhi ya jamii kuangalia uwezekano wa kuanzisha viwanda vya sukari ili kuhakikisha nchi inaondokana na utegemezi wa vikundi vya watu fulani waliojipanga ili kumiliki biashara ya sukari nchini.
Rais alisema kwa mfano mifuko ya hifadhi ya jamii ingekuwa na viwanda vya sukari, leo hii watanzania wasingechezewa na hao wafanyabiashara wanaoficha sukari na hata kama ingepungua, tungewaambia ninyi muagize sukari ambayo ni bora.
Rais alisema, ''sukari hata ukiiagiza nje, bei yake haiwezi kuzidi shilingi mia nane kwa kilo na watu wakapata faida''.
''Hawa watu wanaoficha sukari hawana uchungu na maisha ya watanzania'' Rais alisema.
VIDEO:
Usijivike ujinga kama wewe siyo mjinga lakini kama wewe ni mjinga, tafuta darasa ili uelimishwe!kwa hiyo madawa ya kulevya ni haramu kuyauza kwa kuwa kuna baadhi ya watu hawajapata fursa kuyauza kumbe wakipatiwa fursa yatakuwa halali?
Usijivike ujinga kama wewe siyo mjinga lakini kama wewe ni mjinga, tafuta darasa ili uelimishwe!
Nimekuwekea maandishi na video ili vyote vikusaidie katika kupata uelewa wa mantiki ya kile Rais Magufuli alikuwa anakisema.
Magufuli wewe ndo Raisi pekee mwenye uchungu na wananchi,kuna watu walijifanya wao kama miungu watu,yaani wao tu ndo madons wa sukari,hahahaha wapewe wengine waagize sukari tuone hao madons kama wataendelea kuficha sukari yao