Magufuli atakamilisha matakwa ya Ilani ya CCM mapema sana !!

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,950
29,532
Kwa maoni yangu na observation yangu namuona Magufuli akiwa ni Rais pekee mpaka sasa ambaye ataweza kuikamilisha matakwa ya Ilani ya CCM na ahadi alizotoa kwa wananchi ndani ya kipindi kifupi sana ...yaani kabla ya 2020 Magufuli atakuwa ameanza kutekeleza mambo ya ziada.

Kasi ya Magufuli ni ya ajabu sana!

Hebu ishike ilani ya CCM halafu pitia vipengele vyake na uone aliyoyafanya hadi leo kabla ya utekelezaji wa bajeti yake ya kwanza.

Wanaojaribu kumzuia kwa kuleta zogo badala ya hoja ni lazima wadhibitiwe vilivyo ili wasicheleweshe maendeleo kwa wananchi.

Zile NGOs zinazotupigiaka kelele wakati wa uchaguzi zirudi hapa na tathmini ya utekelezaji wa ahadi kwa vyama vyetu vya siasa....CCM ipimwe na wengine wapimwe pia.

TINGA TINGA LIKO UWANJANI LAZIMA VILIO VIWEPO NA HIYO NDIO ISHARA YA KWAMBA TINGATINGA LINAFANYA KAZI YAKE VIZURI.
 
Itakua vema sana kama itakua hivyo.
 
We kweli jinga,sukari sh ngapi?
Pitia Ilani ya CCM kwanza angalia ni mangapi ameshayatekeleza na mangapi bado...halafu yale ambayo bado tuangalie ni kwa sababu gani.

SUKARI KWA BEI YA SASA NI 2200-2400 na ni mwezi wa ramadhani wenye uhitaji mkubwa wa sukari ....sijasikia kama kuna sehemu hakuna sukari kwa sasa ndani ya mipaka ya nchi hii na tunapoelekea yaani mwezi ujao viwanda vya ndani vinaanza uzalishaji....hoja ya sukari itakuwa ni historia kama ilivyokuwa mahindi.

Na kile kigenge chenu cha wahujumu wa uchumi kupitia sujari tutakivuruga haswa!
 
View attachment 360203
Tunasubiri hiyo makitu.

swissme
Elimu bure kutoka std one mpaka form four imeshapatikana ...nakumbuka mlisema haiwezekani mara tu ilipoanza kutekelezwa na mkasema fedha hazipelekwi...sasa hivi naona mpo kimya kwenye hili....Changamoto ya madawati ndio hiyoo inaondoka wazalendo wanachangia kila kona ya nchi...#HAPAKAZI TU
 
kumbe wazalendo ndiyo wanachangia sio ilani ya ccm wewe ni jingalao la lumumba buku 7

swissme
 
kumbe wazalendo ndiyo wanachangia sio ilani ya ccm wewe ni jingalao la lumumba buku 7

swissme
Ndio wazalendo wanaCCM na wasio wanaCCM ...wale waliomchagua na wale waliokosea kwa kutomchagua....Labda wachache wasiokuwa wazalendo ndio wanaweza kususa kwenye hili.
 

Maoni yako sawa na jina lako
 
Ndio wazalendo wanaCCM na wasio wanaCCM ...wale waliomchagua na wale waliokosea kwa kutomchagua....Labda wachache wasiokuwa wazalendo ndio wanaweza kususa kwenye hili.
hao



Tembo wakufa wangapi na wameshika wangapi Tembo wangapi china.hao unaowaita wazalendo wanakupa dawati wewe unawapa tembo kwe hiyo ni ILANI YA CCM jingalao lumumba buku 7


swissme
 
hao

View attachment 360208

Tembo wakufa wangapi na wameshika wangapi Tembo wangapi china.hao unaowaita wazalendo wanakupa dawati wewe unawapa tembo kwe hiyo ni ILANI YA CCM jingalao lumumba buku 7
View attachment 360208

swissme
Mara ya mwisho kusikia Tembo kafa ni lini?

Wadau ninaowaongelea ni kama wale mafundi wa magari walioamua kutengeneza magari ya serikali bure kwa kumuunga mkono Makonda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…