Nia anaweza kuwa nayo na kikatiba anaruhusiwa, mi nimeuliza ana ubavu huo?Anao uwezo,maana hata bajeti isipopita Rais anatakiwa kuvunja Bunge na kuitisha uchaguzi,ila swali ni je ana moyo huo sio uwezo huo
Tusubiri tuone maajabu ya jua kuwaka usiku!Kama sheria/katiba inamruhusu basi uwezo, ubavu na moyo anao, huyu jamaa ninavyoona ameamua kutenganisha (kidogo) utendaji serikalini na siasa, hapo ndipo wanasiasa wanapochukia.
Akivunja bunge tunarudia uchaguzi wa wabunge tu.Rais anao uwezo na ubavu huo maana Katiba inaruhusu, cha msingi anavunja Bunge na tunarudi kwenye uchaguzi na yeye lazima ashinde.
Katiba yetu inasema rais ni sehemu ya bunge, akivunja bunge tunarudi kwenye uchaguzi wa rais bunge na madiwaniAkivunja bunge tunarudia uchaguzi wa wabunge tu.
hadi wa raisAkivunja bunge tunarudia uchaguzi wa wabunge tu.
Saanane buanaAnapaswa kwanza kuvunja chama kama anayo jeuri kama Bingu wa Mutharika
Kama ndivyo hana ubavu huo, maana hata yy hana uhakika kama atarudiKatiba yetu inasema rais ni sehemu ya bunge, akivunja bunge tunarudi kwenye uchaguzi wa rais bunge na madiwani
hadi wa rais
Kumbe upo wewe kijana wa Slaa...Anapaswa kwanza kuvunja chama kama anayo jeuri kama Bingu wa Mutharika
atarudi..hata hivyo magufuli ana principal zake,anaweza kufunja tu bila kujali kama atarudi ama laKama ndivyo hana ubavu huo, maana hata yy hana uhakika kama atarudi