Magufuli akiamua kununua ndege 3 kila mwaka hadi 2020 TZ itakuwa na ndege 30

hugochavez

JF-Expert Member
Mar 1, 2013
1,907
1,009
Hii ni ndoto inayoenda kuwa ya kweli.

Katika bajeti ya serikali ya mwaka 2016/2017 Tanzania imetenga fedha ya kununua ndege tatu ( 3 ). Nawaza kwa sauti kwamba endapo rais ataamua hatua hiyo iwe kila bajeti ya mwaka ina maana hadi mwaka 2020 KWA MARA YA KWANZA TANGU UHURU, TANZANIA ITAKUWA NA NDEGE 30.....AMaZiNg...

wakati Kikwete anaingia Tanzania ilikuwa na Ndege Mbili. wakati anaondoka madarakani Tanzania imejikuta ina shirika la Ndege lisilo na Ndege.
 
Alipe kwanza madeni ya mifuko ya hifadhi kama PSPF, wazee wamestaafu wengine zaidi ya miezi sits hawajalipwa na shida zinataka kuwauwa.
Bunge lili ambiwa deni la mifuko ya jamii ni zaidi ya Trilioni 6
 
Alipe kwanza madeni ya mifuko ya hifadhi kama PSPF, wazee wamestaafu wengine zaidi ya miezi sits hawajalipwa na shida zinataka kuwauwa.
Bunge lili ambiwa deni la mifuko ya jamii ni zaidi ya Trilioni 6
Pspf hatar sana... Mi nna mzee wangu kastaafu toka January hadi Leo...
 
mkuu umetumia hesabu gani hapo kupata ndege 30 kwa miaka minne?
 
Tatizo ni bei ya kusafiri na hizo ndege watanzania wengi hawana uwezo huo
 
Napi
Napitaa
 
Kumkosoa mtu si lazima uambatanishe matusi hii ni tabia ya uswahili. Siku hizi JF tumebadilika tunataka tujengane kimawazo kuongea kwa matusi hakujengi na unayemtisha humwoni.
Ni (3*5) +(3*5) = 30 kama atapita uchaguzi wa 2020.
 
Kwanza tuanzishe kikundi cha kwaya ili ndege zinapofika tuzipokee kwa nyimbo....................Pamoja na kusifu mambo tofauti tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…