Mkuu Mpya wa mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo,leo kaongea maneno ya hekima mno akiwa katika kanisa la EAGT Buzuruga-Mwanza. Kasema tuilinde sana amaño ya nchi,Pía watumishi wa mungu wote bila kujali itikadi zao wahubiri amani na yeye kasema atajitahidi kusimamia amani na kufanya kazi kwa haki bila upendeleo.