GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 6,822
- 9,657
Wamerithi kutoka kwa wakoloni.
Aisee,hata mtaani waweza kataa kurudi
Huyo ni mfungwa? Ana mpaka tv😄
Na magazeti anapewa kila siku hata menu ya siku hiyo anachaguaHuyo ni mfungwa? Ana mpaka tv😄
Masuala yote yanayohusisha utendaji kazi wa askari Tanzania tumerithi mfumo wa kikoloni., sio gerezani tu hata katika ukamataji wa watuhumiwa hali ni iyo iyo, unaweza ukajisalimisha au ukatoa ushirikiano na bado ukapewa kipigo.Kwa nchi zilizoendelea, mtu kukaa gerezani humaanisha kukosa uhuru tu, lakini mahitaji mengine karibia yote ya muhimu huyapata.
Watanzania waliowahi kufungwa gerezani nchini walishasimulia mikasa na mateso waliyokutana nayo gerezani. Ni hali mbaya sana. Wafungwa hawajaliwi kama ipasavyo mwanadamu kujaliwa.
Na hilo ni tatizo la miaka mingi.
Hali hiyo inasababishwa na umasikini au kutokujali kwa watawala?
Nilishawahi kusimuliwa kuwa kulikuwa na Watanzania waliotaka kukatalia mahabusu ya Botswana baada ya kukamatwa kwa kosa la kuingia nchini humo kinyume cha taratibu. Walipokuta kuku ni sehemu ya mlo wa mahabusu, walitamani waendelee tu kukaa humo mahabusu.Aisee,hata mtaani waweza kataa kurudi
Sasa ukampe mtanganyika hichi chumba kwamba ni gereza nani atataka kulala nje ya duka au mtaroni? Si bora ufanye kosa la kufungwa maisha.
🤣🤣Sasa ukampe mtanganyika hichi chumba kwamba ni gereza nani atataka kulala nje ya duka au mtaroni? Si bora ufanye kosa la kufungwa maisha.
Ukiishi mazingira hayo masafi hivyo hata akili inapata utulivu na mazogo yatapungua..Kwa wenzetu vitu vingi ni vizuri anzia hata usafiri wa umma, inawezekanakizaliwa kwenye baadhi ya nchi ni adhabu kwa makosa uliyoyafanya kwenye maisha mengine😄View attachment 3053043View attachment 3053044View attachment 3053045