pdozen_nation
Member
- Nov 12, 2015
- 50
- 120
Magauni ya harusi na send off yanauzwa na kukodishwa
0685141035
0685141035
Hahaha 😂Mkuu Samahani
Hao Waliovaa Hayo Magauni Wapo Single Nianzie Hapo Hapo
Yaani Nilipie Moja Kwa Nitakayemchagua
MsadaHahaha 😂
Lipa Hilo la pink umchukue na mvaaji mwenyewe,, nimewaza tu Ila ukiweka na picha yako itakua poa ili nikuchagulie mnayeendana😃Msada
Nilipie Lipi Ukitazama Mvaaji Mwenyewe
Haa Haa Na Mvaaji Moja Kwa MojaLipa Hilo la pink umchukue na mvaaji mwenyewe,, nimewaza tu Ila ukiweka na picha yako itakua poa ili nikuchagulie mnayeendana😃
Sawasawa 👊Haa Haa Na Mvaaji Moja Kwa Moja
Sasa Kwakuwa Umesema Hivyo Acha Nivunje Kikoba
Toba? Madam unaolewa?Weka na bei.
Nalitaka hilo la chini.
Sendoff yangu wiki ijayo.
Jamani, mie mbona bado sana kiumri?Toba? Madam unaolewa?
Sasa JLW likirudi utatuletea ya chumbani kwenu?
Nasihi hiyo sendoff ihairishwe kwa sasa. Mpaka wakati mwingine tena.
Sema Wanakuwa Wameshiba Kabisa Mpaka Unaweza Fikiria WazaziWanawake wengi wa siku hizi wanaofunga ndoa na kuvaa hayo magauni wana "matumbo ya uzazi" aka kitambi cha supu na ndizi.
😅🤣😁😄😅😁😄😄😀😀Hii Kali SanaJamani, mie mbona bado sana kiumri?
Nimempata mzee mwenzangu tumalizie nae uzee
Hakuna cha kushiba ni matumbo ya mtori baada ya kujifungua.Sema Wanakuwa Wameshiba Kabisa Mpaka Unaweza Fikiria Wazazi
Tanzania Mpya Watu Wana Afya Yote
😅😁😄😀Hakuna cha kushiba ni matumbo ya mtori baada ya kujifungua.