Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,106
- 10,171
Yaliyotumika wanaweza kuyatengenezea mazingira magumu, mpaka wamiliki wakaondoa wenyeweHiyo ban ni kwa magari mapya ya Petrol na diesel. Yaliyotumika yataendelea kuwepo kwa muda kidogo zaidi na watu kuendelea kuuziana.
Wazo zuri.
Mwarabu atakufa njaa...The future is exciting.... tuondokane na vita za mafuta.
UAE wana akili sana... walianza muda mrefu kuji-detach their economy from petroleum.Mwarabu atakufa njaa...
Nao wanajua dunia inavyoenda, Saudi wana Vision2030, kupunguza utegemezi wa mafuta kwenye uchumi. Moja ya mission ni kuhakikisha watu wanaenda sana kuhiji-Utalii wa kidini.Mwarabu atakufa njaa...
Hayatengenezwi tena!Hiyo ban ni kwa magari mapya ya Petrol na diesel. Yaliyotumika yataendelea kuwepo kwa muda kidogo zaidi na watu kuendelea kuuziana.
Wazo zuri.
Mvhafuzi wa mazingira kwa kiasi kikubwa wala sio magari ni viwanda.Tuyategemee mengi Afrika kwenye dampo lao
... msajili a.k.a mlezi wa vyama vya siasa ameitaka Chadema ijieleze ni kwanini iliwafukuza wabunge 19 almaarufu Covid-19. Hayo ndio mambo tunayaweza Afrika!The future is exciting kweli. Kinachosikitisha ni kwamba Africa Africa tutaendelea kuwa wasindikizaji. In FACT, point ni kwamba hiyo 2035 magari ya diesel na petrol hayatatengenezwa tena. Hapo hujasikia plans za Japan na wengine wanakuja na mikakati gani. Sisi tutakuwa wageni wa nani? viongozi wetu waamke. COVID ime-expose umasikini wetu vibaya. Tumebaki kulalamika kwamba wakubwa wanahodhi chanjo! Bila kuwa na mchango wowote kwenye utafiti na utengenezaji wa hizi chanjo.
Tujipange..tukiendelea na hizi siasa cheap cheap...tutaendelea kuumia na kurithishana umasikini kizazi hadi kizazi.
Saudi wamechelewa kuamka na kupenda kujifanya wakali sana na mambo ya dini itawapa tabu kubadilika.... U.A.E wako mbali sana... kama Dubai ndio wamejijenga nje kabisa ya maswala ya mafuta sasa hivi.Nao wanajua dunia inavyoenda, Saudi wana Vision2030, kupunguza utegemezi wa mafuta kwenye uchumi. Moja ya mission ni kuhakikisha watu wanaenda sana kuhiji-Utalii wa kidini.
Gari gani hiyo?UAE wana akili sana... walianza muda mrefu kuji-detach their economy from petroleum.
Umeme unazidi kuwa cheap hasa hasa Solar na Wind plus kuna Solid State Battery zinakuja. Toyota wako kazini wanakuja na gari ya 1000km range na Charge mpaka 80% kwa dk 10.
The furure is exciting
Hawajasema specification, lakini inasemekana itakuwa ni Rav 4 based lakini fully electrical.Gari gani hiyo?
The best time to start was yesterday. The next best time is now!Saudi wamechelewa kuamka na kupenda kujifanya wakali sana na mambo ya dini itawapa tabu kubadilika.... U.A.E wako mbali sana... kama Dubai ndio wamejijenga nje kabisa ya maswala ya mafuta sasa hivi.
Mzungu atakufa njaa kwa kukosa soko la silaha Si wanasema mafuta ndio yanasababisha vita?Mwarabu ataku