Mji wa Mtwara umekumbwa na uhaba wa mafuta ya Petrol kwa siku ya tatu mfululizo na kusababisha iuzwe kwa bei ya ulanguzi,toka shilingi 1,950 kwa lita hadi 2,500.