Mafuta kutoka maganda ya korosho

ngawia

JF-Expert Member
Feb 11, 2014
735
743
Wakuu naomba ABC kuhusu hii biashara ya mafuta kutoka kwenye maganda ya korosho. Upatikanaji wa maganda ya korosho je upo kwa wingi na Bei yake kwenye viwanda.

Je Lita 40000 Inatumia maganda kg ngapi?
 
Back
Top Bottom