Mafuta gani yanafanya kubaki na ngozi asilia, bila kubadili mwonekano.

The Eric

JF-Expert Member
Feb 23, 2019
6,303
10,675
Salaam wanajukwaa huru la urembo, mitindo na utanashati yaani lifestyles.....

Mimi ni mwanaume mweusi (weusi wa chocolate yaani maji ya kunde), recently natamani sana nibakie kwenye weusi wangu asilia yaani from my origin.

Kipindi cha nyuma like few years past niliona kunga'aa ni good looking kwa swala zima la kuwa nadhifu but definitely! I was't right in my recent decisions.

Natumia Protex soap kuogea which is bar soap na siyo shower gel, wakati wa baridi natumia Vaseline ya mgando (Vaseline for men iliyopo kwenye kopo la blue kuna cool na fresh) maana nipo maeneo ya baridi, wakati wa Joto (jua) kama sasa natumia lotion ya Vaseline.

Nazidi kunga'aa na kupoteza weusi asilia.....

Kuna mawazo unaweza pendezwa nayo mwanzo lakini baadae ukaona ni wrong mfano kuna wazo lilinijia la kuongeza body weight maana nilikuwa mwemba mrefu nikaona bora nizangatie diet niende GYM ninyanyue weight ni gain muscles........

But the moment niko GYM nikawa na workout na tumbo yaani kupata flat tumbo na kukata lower fat at the belly, changamoto ikaja lazima nifanye aerobic exercises, so nikashift kimawazo toka kujenga muscles kwa kugain weight mpaka kuja kuamua tena kuloose weight sababu ya ABS (wanamazoezi watanielewa nikisema ABS)

Kwa hiyo kwa sasa nipo katika equilbrium nipo interested na kugain weight lakini vile vile na workout na ABS.

Lets know ni mafuta gani natural, plus soap zisizo kuwa na impacts kubwa kwa ngozi, specifically for men.
 
Shukrani mkuu 😅😅😅 nasikia Dove ni kiboko yao tena shower gel, japo wanayo ya bar pia.
Piga zote. Shower gel bei imesimama. So unaweza nunua bar soap za buku 5 maduka mengine ukienda supermarket mfano shoppers unapata cheap.

Ukanunua na gel ya 17k hadi 20k, hio gel ukawa unaongea kea kuruka ata siku 2 mfano unaogea leo na kesho bar afu kesho kutwa gel ivo ivo.

Na ukanunua lotion hata ndogo ya 10k.

Me napenda zaidi mafuta yake. Mazuu sana.
 
Ndo baada ya kuyatumia unakuwaje au napata matokeo gani?
 
Piga zote. Shower gel bei imesimama. So unaweza nunua bar soap za buku 5 maduka mengine ukienda supermarket mfano shoppers unapata cheap.

Ukanunua na gel ya 17k hadi 20k, hio gel ukawa unaongea kea kuruka ata siku 2 mfano unaogea leo na kesho bar afu kesho kutwa gel ivo ivo.

Na ukanunua lotion hata ndogo ya 10k.

Me napenda zaidi mafuta yake. Mazuu sana.
Nitajaribu nione mkuu nasikia zinasifiwa sana products zao.
 
multipurpose
images (36).jpeg
 
Salaam wanajukwaa huru la urembo, mitindo na utanashati yaani lifestyles.....

Mimi ni mwanaume mweusi (weusi wa chocolate yaani maji ya kunde), recently natamani sana nibakie kwenye weusi wangu asilia yaani from my origin.

Kipindi cha nyuma like few years past niliona kunga'aa ni good looking kwa swala zima la kuwa nadhifu but definitely! I was't right in my recent decisions.

Natumia Protex soap kuogea which is bar soap na siyo shower gel, wakati wa baridi natumia Vaseline ya mgando (Vaseline for men iliyopo kwenye kopo la blue kuna cool na fresh) maana nipo maeneo ya baridi, wakati wa Joto (jua) kama sasa natumia lotion ya Vaseline.

Nazidi kunga'aa na kupoteza weusi asilia.....

Kuna mawazo unaweza pendezwa nayo mwanzo lakini baadae ukaona ni wrong mfano kuna wazo lilinijia la kuongeza body weight maana nilikuwa mwemba mrefu nikaona bora nizangatie diet niende GYM ninyanyue weight ni gain muscles........

But the moment niko GYM nikawa na workout na tumbo yaani kupata flat tumbo na kukata lower fat at the belly, changamoto ikaja lazima nifanye aerobic exercises, so nikashift kimawazo toka kujenga muscles kwa kugain weight mpaka kuja kuamua tena kuloose weight sababu ya ABS (wanamazoezi watanielewa nikisema ABS)

Kwa hiyo kwa sasa nipo katika equilbrium nipo interested na kugain weight lakini vile vile na workout na ABS.

Lets know ni mafuta gani natural, plus soap zisizo kuwa na impacts kubwa kwa ngozi, specifically for men

Hapa naonesha mfano wa ngozi ilivokuwa nilikuwa black kidogo ya apa 👇👇👇
Nkoo nikuuzie tissue oil utaioenda ngozi yako
 
Back
Top Bottom