Ubarikiwe sana mkuu.. Nashukuru kwa Maarifa na kuniambia yapi unapendelea.. Ila unaweza kuweka bei baadhi ya mafuta na maeneo ambayo naweza yapataYako mengi tu Mkuu chaguo ni lako
Machache niyajuayo ni
1.Olive oil (tabia yake huwahi kukauka hivyo lazima umsinge mengi)
2.Rafael Salvador (RF) (Binafsi ndio napendelea haya zaidi)
3.Sweet Almond Oil
4.Apricot kernel oil
5.Jojoba oil
6.Fractionated oil
7.Sesame oil
okay mkuuAhsante mkuu
pamoja kiongozi..Ahsante kwa kushare nasi Maarifa haya
hayo unayotumia yana ladha gani tofauti na mengine? Yan kipi kilikuhasisha kwenye hayo unayotumiaYako mengi tu Mkuu chaguo ni lako
Machache niyajuayo ni
1.Olive oil (tabia yake huwahi kukauka hivyo lazima umsinge mengi)
2.Rafael Salvador (RF) (Binafsi ndio napendelea haya zaidi)
3.Sweet Almond Oil
4.Apricot kernel oil
5.Jojoba oil
6.Fractionated oil
7.Sesame oil
NB.ya asili napendelea mafuta ya Mnyonyo ni mazuri mno kwa Afya ya misuli japo kero yake mkubwa ni lazima ukisha msinga mwenzio akaoge maana yana nata nata,ila ni mazuri maana yanaondoa kabisa maumivu ya misuli na huteleza vizuri.
Raha ya massage umpate msingaji anayejali na asiye na mpaka ya mwili wako! All the best
Sent using Jamii Forums mobile app
Bei hiutegemeana na mahali unaponunua, supermarket zote kubwa zenye kuuza na vipodozi + baadhi ya maduka makubwa ya dawa utayapata hapo na bahati mzuri huwa wanatoa na ushauriUbarikiwe sana mkuu.. Nashukuru kwa Maarifa na kuniambia yapi unapendelea.. Ila unaweza kuweka bei baadhi ya mafuta na maeneo ambayo naweza yapata
ni mazuri ila usilogwe ukapaka kunako sehemu za siri.Mafuta ya Karafuu
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
aisee shukran mkuu inaelekea weye ni profesheno wa ma swedish massage,ntayatafuta hayo mafuta ya mnyonyoYako mengi tu Mkuu chaguo ni lako
Machache niyajuayo ni
1.Olive oil (tabia yake huwahi kukauka hivyo lazima umsinge mengi)
2.Rafael Salvador (RF) (Binafsi ndio napendelea haya zaidi)
3.Sweet Almond Oil
4.Apricot kernel oil
5.Jojoba oil
6.Fractionated oil
7.Sesame oil
NB.ya asili napendelea mafuta ya Mnyonyo ni mazuri mno kwa Afya ya misuli japo kero yake mkubwa ni lazima ukisha msinga mwenzio akaoge maana yana nata nata,ila ni mazuri maana yanaondoa kabisa maumivu ya misuli na huteleza vizuri.
Raha ya massage umpate msingaji anayejali na asiye na mpaka ya mwili wako! All the best
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiyahitaji naweza kukupunguzia,ngoja tutafute mudaaisee shukran mkuu inaelekea weye ni profesheno wa ma swedish massage,ntayatafuta hayo mafuta ya mnyonyo
Hahahaha nasikia ndio tiba ya huko 'Ikulu' lakini.ni mazuri ila usilogwe ukapaka kunako sehemu za siri.
Mi napendelea zaidi mafuta ya nazi,yana mnyumbuliko mzuri na mwili.