Mafunzo ya typing

wehoodie

JF-Expert Member
Nov 20, 2011
1,030
1,010
Wakuu katika harakati za kutumbua vijipu vidogo vidogo na kuongeza ufanisi naomba kujuzwa wepi naweza pata mafunzo ya typing mjini darisalama. Napendelea weekend au jioni. Nataka nifikie zile speed za ma-secretary nimejaribu kujifunza kwa hizi program lakini sikupata mafanikio.
nashukuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…