Mike Moe
Senior Member
- Nov 3, 2019
- 148
- 160
Leo tarehe 18/7/2024,
Mkoani Tabora yamehitimishwa mafunzo ya waandishi wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya bayometriki kwa ajili ya zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura.
Huku zoezi rasmi la uandikishwaji likitarajiwa kuanza siku ya jumamosi tarehe 20/7/2024 na kuhitimishwa tarehe 26/7/2024