JANUARY TARAZO COMPANY
New Member
- Aug 24, 2023
- 3
- 2
JTC ni kampuni ya kitanzania inayojishughulisha na ujenzi wa Tarazo.
Tarazo ni finishingi inayofanyika ktk sakafu au kuta za nyumba/jengo km zilivyo tiles/vigae, tarazo ni mchanganyiko wa vipande vidogo vidogo vya marble, granite, qualtzite, cement/white cement na malighafi nyengine kupata uimara na muonekano bora na wa kuvutia zaidi, muonekano wa tarazo unafanana na wa tiles ila tarazo yao ni imara na ukaa miaka mingi zaid kuliko tiles kwani yao haivunjiki au kukwaruzika, tarazo ukaa ktk floor au ukutani km zilivyo tiles.
Sisi JTC ni mafundi mahiri, wazoefu na waaminifu ktk kazi hii, tumefanya kazi na taasisi mbalimbali za uma na za binafsi, tumefanya kazi ktk jengo la stendi ya magufuri mbezi, jengo la wizara ya mambo ya ndani, kanisa katoriki parokia ya tabata kimanga, parokia ya buyuni chanika, kituo cha hija parokia ya pugu, nyumba binafsi na majengo mbalimbali.
Gharama zetu ni nafuu na kazi yetu ni bora sana na yakuvutia. Tunapatilana nchi nzima.
Kwa maelezo zaidi tudm humu au tupigie, tutext kawaida au whatsap kupitia no hizi.
+255754016605.
+255688893212.
+255629044238.
eliusmoris2@yahoo.com
.