Vifo vingi vinasababishwa na mafisadi indirect au direct
ukiibia serikali maana yake unakosesha hospitali kununua dawa hivyo kusababisha vifo,serikali inashindwa kujenga barabara nzuri hivyo ajali zinasababisaha vifo,hata elimu ikiwa duni ni rais kushindwa kupata maarifa ya kutawala mazingira na kusababisha vifo,pia ugumu wa maisha ya wananchi usababisha stress na magonjwa ya moyo kwa hiyo vifo vingi hutokea life expectancy ya mtanzania miaka 55 lakini anagalia haya mafiasadi hayafi haraka unakuta mtu ni mzee kijana uliuliza unaambiwa ana miaka 70 lakini baado kijana kabisa
kukata mzizi wa fitina hawa jamaa inabidi wafanye kazi mochuwari ili washuhudie madhara waliyosababisha (vifo)
Hii itawafanya wajutie kile walichokifanya