Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,337
- 120,836
Wanabodi,
Ukiisikia simulizi za historia ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, tangu kuzaliwa, alipotoka, mapito aliyopitia na hadi sasa alipo, na kuifikiria picha ya anapokwenda, baada ya kusoma makala hii na kusikiliza masimulizi haya, mtakubaliana na mimi kuwa, huyu Paul Makonda ni mpakwa Mafuta wa Bwana, hivyo safari yake na mapito yake ni kazi ya Bwana Mungu mwenyewe katika kuonyesha uweza wake kwa wanadamu, na anaweza kuikamilisha safari ya Makonda kwa kuufanya ule muujiza mkubwa wa "Jiwe Walilolikataa Waashi, Litafanywa Kuwa Jiwe Kuu la Pembeni"!.
Kwa kuanzia, wasikilize wazazi wake.
Sasa msikilizeni Makonda mwenyewe.
Historia Yake Kuzaliwa na Familia
Makonda alizaliwa Februari 15, 1982 majira ya saa 1:30 asubuhi, familia ya Baba yake Paul (Baba hatajwi kabisa kwa majina) na mkewe, anatajwa kwa jina moja tuu la Suzan, (sio Susan nani wala mama fulani, which is very unusually).
Wazazi hao wasiotatwa majina, walimkaribisha mtoto wao pekee wa kiume katika Zahanati ya Kolomije, wilayani Misungwi mkoani Mwanza. (hapa wazazi hawataji jina lake!).
Elimu ya Msingi, Sekondari na Chuo.
Makonda ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi. Kabla ya kwenda Moshi, alipita katika Shule ya Msingi Kolomije na amesoma pia katika Chuo cha Uvuvi Nyegezi Mwanza, na Chuo cha Mbegani, Bagamoyo ambako alisoma hadi ngazi ya Cheti na Diploma katika masuala ya uvuvi.
Hakuna maelezo kutoka kwa wazazi wake, wala Makonda mwenyewe alisoma wapi Sekondari wala hakuna index number yoyote ya Necta yenye majina yake!.
Kabla ya Chuo.
Makonda alianzia kazi ya kuchimba mchanga.
Akaja kazi ya kuchoma mkaa.
Akawa utingo kwenye malori ya mizigo kisha akawa kondakta yaani Makonda akawa konda wa mabasi ya kwenda Mwanza.
"Ukiwa ni mpakwa mafuta kama Daudi, Mungu atakuinua tuu kutoka chini ulipo na kukupandisha mahali pa juu palipoinuka na wote watakuona"
Makonda Ana Nyota Inayong'ara
Nyota ya Makonda ilianza kung'aa siku nyingi ndani ya UV CCM, umaarufu wake ulianzia kwenye press conferences za kumtukana Lowassa kuwa ni fisadi na hawezi kuja kuwa rais wa nchi hii!. Umaarufu huo ulifikia peak ku shine haswa kwa tukio la kumuokoa, Waziri Mkuu mstaafu, Mzee Joseph Sinde Warioba alipoletewa fujo kwenye kongamano la katiba pale Ubungo Plaza. Wengi wakiaminishwa ni Makonda alimpiga Warioba, kumbe ukweli halisi ni Makonda, ndiye alimuokoa Mzee Sinde Warioba asidhurike!, na kumsindikiza huku amemkingia kifua kwa mikono na kumtoa nje.
Mibaraka.
Mibaraka kwa Makonda ilianzia siku yake ya kuzaliwa February 15, mwaka 2015 Rais Jakaya Kikwete alipomteua Paul Makonda kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni na kutangazwa Februari 18, mwaka 2015. Kitendo cha kuteuliwa siku yako ya kuzaliwa sio coincidence bali ni mipango ya Mungu inayoitwa "birth lucky", bahati ya kuzaliwa, wazungu wanaita umezaliwa with "silver spoon".
Kufuatia utendaji uliotukuka, sisi wenye jicho la tatu Machi 12, 2016 tukamtabiria makubwa kwa kuandika humu jf Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam. Na kweli ikatokea Machi 13, 2016 akateuliwa RC DSM.
Mibaraka Zaidi.
Hii ni kazi ya mikono yake kwa baraka za Bwana. (Not necessarily ni kweli)
Inasemekana Mungu amemuwezesha
Makonda kununua jengo (apartment), pale Viva Towers kwa TZS. 600 milioni. Makonda amempa mke wake gari aina ya Mercedes Benz lenye thamani ya US $ Dola 250,000 za Marekani (TZS 550 milioni) kama zawadi ya ‘Birthday’,”
Makonda ana gari aina ya Lexus, lenye thamani ya TZS 400 milioni. Makonda anamiliki magari mengine ya kifahari aina ya V8, anajenga maghorofa jijini Mwanza na amekarabati ofisi yake kwa TZS 400 milioni zake binafsi!.
Japo there is something missing and something fishy ambayo ni a missing link kwenye story ya Makonda ambayo wazazi wake hawajaisema, Makonda mwenyewe hajaisema, wala sijaisikia ikisemwa popote, kuhusu elimu yake ya Sekondari, ila the bottom line ni the end justify the means, he is what he is now!.
Japo mimi sio Sheikh Yahaya lakini niliposema hivi Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Ikawa, sasa nasema hivi Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...
Kuna vitu kwa binadamu tuu wa kawaida haviwezekani, lakini kwa Mungu vinawezekana, hivyo kwa Mungu kunauwezekano kabisa wa "Jiwe walilolikataa waashi, likafanywa kuwa jiwe kuu la pembeni!".
Huwezi jua jameni, Mwacheni Mungu aitwe Mungu!.
Paskali