GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,368
Nchi zinazochukuliwa kuwa "the most developed in Africa" ni Mauritius, Seychelles, Algeria, Egypt, Tunisia, Libya, South Africa, Gabon, Botswana, Morocco, and Mauritius.
Ukiacha Gabon, karibia nchi zote zilizotajwa hapo juu zina unasaba na Uarabu au Uzungu!
Algeria, Egypt, Tunisia, Libya, na Morocco ni nchi za Kiarabu.
South Africa inafahamika, ni kwa Makaburu.
Botswana nako kuna mchango wa Uzungu. Rais wa kwanza wa Botswana, Sir Seretse Khama, mkewe alikuwa Mzungu wa Uingereza. Huwezi kuyatenganisha mafanikio yake na mchango wa mke wake. Inasemekana, yeye kama Rais wa kwanza, aliiweka misingi imara ya uongozi.
Seychelles nako wana unasaba na Wazungu.
Tukirudi Tanzania, wanaoongoza kwenye orodha ya matajiri ni Watanzania wenye ngozi nyeupe.
Ukigoogle, TOP 10 RICHEST PEOPLE IN TANZANIA utawakuta wafuatao: Mohammed Dewj,
, Rostam Aziz, Said Salim Bakhressa, Ally Awadh, Shakhar Kanabar, Fida Hussein Rashid, Shubash Patel, Yusuf Manji, Ghalib Said Mohammed, na Yogesh Manek. Ukiangalia sura za hao matajiri, utabaini kuwa rangi nyeupe ndiyo iliyotamalaki.
Je, kuna uhusiano wa rangi na mafanikio?
Nchi zilizoendelea zaidi Afrika ni zile zenye Wazungu au Waarabu!
Orodha ya Watanzania matajiri zaidi inaongozwa na Watanzania wenye rangi nyeupe.
Je! Mafanikio yao yamechochewa na rangi ya ngozi zao?
Suala la mafanikio ni la rangi ya ngozi au uwezo wa akili?
Mimi niaminivyo, ni akili. Labda, watu wenye rangi nyeupe wana akili kuzidi wenye ngozi nyeusi, au rangi zao zianawafanya wapendelewe na hivyo kufanikiwa kirahisi?