Maelezo ya kupata leseni Baraza la Madaktari (MCT)

Antelius

Member
Nov 14, 2024
6
2
Wakuu samahani.

Je, naweza kutumia Academic transcript badala ya cheti katika kuomba leseni kwenye mfumo wa Medical council of Tanganyika (MCT)?

Kwa sasa nimeuliza uku maana hamna response ukiuliza wao.
 
Maelezo yako hayajitoshelezi, unataka kutumia transcript badala ya cheti kipi?

Elezea shida yako vizuri kwamba una vyeti gani nk, na unahitaji kujua nini hasa?
 
Maelezo yako hayajitoshelezi, unataka kutumia transcript badala ya cheti kipi?

Elezea shida yako vizuri kwamba una vyeti gani nk, na unahitaji kujua nini hasa?
Naamanisha sehem u wanapohitaji cheti cha professional kama cheti huna je unaweza kutumia Academic transcript
 
Ni ngazi ya diploma so degree,Vyeti havijatoka ila nina Academic transcript tu

Ok, pole sana.
Hapo kwenye professional certificate ndiyo hicho cheti cha diploma/degree kinachotakiwa.
Lakini sasa kwa uhitaji wako wa haraka wa leseni unaweza tu kuweka hiyo transcript ili baadae ukipata cheti unaiweka tu, lakini sasa sijui kama wenyewe watakubali ikiwa watagundua,, jaribu tu kuweka hiyo transcript, naamini utapata leseni yako.

Kila la kheri.
 
Back
Top Bottom