Najaribu kuwaza tu...! Kwa bei hii hawa jamaa wanapataje faida sasa?
Au mteja hatakiwi kununua unit moja moja kwa bidhaa?
Au wana acquire/produce hizo bidhaa at a lowest cost or they are being exempted from tax payment purposely to serve low income earners?
Au hizo products huwa wanazalisha wenyewe baada ya kurealize super profit?
Make kibongo bongo ukiona bidhaa zinauzwa kwa bei ya jero jero basi huo ni mtumba(hasa nguo) grade ya mwisho umekuwa accumulated kwa muda mrefu kutoka kwenye marobota mbalimbali, hivyo mfanya biashara anaona kuliko kuuchoma moto better sale them at a throw away price!!
Wataalam wa mambo mkuje huku mnipe ufafanuzi zaidi.
Yap. Yanaitwa POUNDLAND shopsLondon kuna 1 pound shop. Nilikusanya vitu kama sina akili vizuri
ukifikisha mzigo wanakuambia import tax yen milioni 15.Naruhusiwa Kununua Vitu Mpaka Vya Yen Million Tano? Najua Nikija Na Hivyo Vitu Bongo Mimi Tajiri
ukifikisha mzigo wanakuambia import tax yen milioni 15.Naruhusiwa Kununua Vitu Mpaka Vya Yen Million Tano? Najua Nikija Na Hivyo Vitu Bongo Mimi Tajiri
ukifikisha mzigo wanakuambia import tax yen milioni 15.Naruhusiwa Kununua Vitu Mpaka Vya Yen Million Tano? Najua Nikija Na Hivyo Vitu Bongo Mimi Tajiri
Hivi kwa nini bongo kodi imekuwa haina uhalisia? Au ni kukomoana?ukifikisha mzigo wanakuambia import tax yen milioni 15.
Hapo ndo utabana ngenge,
bora labda upeleke mzigo uganda ama kenya kidogo kodi zao nafuu
Uchambuzi safi kabisa. Naomba tuchekiane kwa WhatsApp namba zangu +255 687 031768Wananunua kwa wingi kwa wakati mmoja viwandani. Hamna middleman. Tunaongelea kontena elfu au zaidi kwa mkupuo mmoja.
Mali nyingi zinatengenezwa China kwa ajili ya wateja wa Japan. Quality inakuwa juu zaidi ya mali zinazokwenda nchi masikini.
Viwanda vya Japan pia vinazalisha China na nchi nyingine Asia kwa bei rahisi. Makubaliano baina ya nchi mbalimbali na Japan zinapunguza kodi na gharama za usafiri.
Usafiri bora, ushuru mdogo, kodi ndogo na urahisi wa kuingiza mali bandari za Japan, zinapunguza gharama za vitu madukani.
Mpaka miaka michache iliyopita, Kodi ya mauzo ilikuwa 3% . Leo ni 8%.
"Economies of scale" inapunguza gharama ya vitu kama wanavyofanya Walmart Marekani.