Madoa ktk chupi "skid marks"

bohemian

Senior Member
Feb 20, 2017
103
86
Sababu inayofanya watu wengi wasianike chupi ktk kamba nje au hadharani tofauti na nguo nyingine ni madoa sugu "skid marks" hasa kwa chupi nyeupe, solution yake ni nini? Fungukeni
 
Solution ni kuvaa chupi nyeusi/brown.
Yakitokea na hapa basi ujue una nyota ya ndege kanga (you are beyond ordinary dirtiness)
Nikikutana na mwanamke kavaa chupi nyeusi hamu inaisha hapohapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…