Sugu ni wa mbea vijijini?Unamaana Sugu naye anabariki kabisa hayo madudu?
tumia akili weweUnamaana Sugu naye anabariki kabisa hayo madudu?
Kwa mwanasheria, suti ni vazi maalumu la mahali pake pa kazi (mfano mahakamani), sasa unaposema jinunulie kutoka katika mshahara wake ni sawa na kumwambia nesi au askari polisi ajinunulie yunifomu zile anazotakiwa kuvaa awapo kazini. Mwanasheria hawezi kuappear mbele ya mahakama akiwa hajavaa suti na tai na ni lazima.Leo kwenye gazeti la wananchi sikuamin macho yangu niliposoma habar hii ya mwanasheria wa halmashauri kununuliwa suti ya lakin tano kila mwez, tena hilo linawekwa ndan ya bajet, ingawa nimefarijika kusikia madiwan wamegomea kupitisha hilo kwenye bajet, ingawa kinahonisikitisha ni mkurugenz wa halmashauri na hasa huyu mmbunge aliechaguliw na wanainchi wake wa mbeya vijijin akiwaomba madiwan walipitishe hilo kwenye bajet..
kweli magufuli ana kaz ikiwa huku kwenye nga a chini yako haya hv unategemea huko juu kutakaa sawa kama wabunge wenyewe wanashiriki kwenye haya.
Hii inchi hii hiv huyu mwanasheri hana mshahara na kwa nini anunuliwe sut kila mwez.. yaani mijitu isio na akil inakaa chin na kuliweka hil kabisa kwenye bajet, huu ni zaid ya unyumbu
Wale vijana 46. Sifa yao kuu ni kuropoka hata kama hawjui wanaandika nini.Unamaana Sugu naye anabariki kabisa hayo madudu?
Shemeji yangu ni nesi na juzi ametoka kichukua sare zake kwa fundiKwa mwanasheria, suti ni vazi maalumu la mahali pake pa kazi (mfano mahakamani), sasa unaposema jinunulie kutoka katika mshahara wake ni sawa na kumwambia nesi au askari polisi ajinunulie yunifomu zile anazotakiwa kuvaa awapo kazini. Mwanasheria hawezi kuappear mbele ya mahakama akiwa hajavaa suti na tai na ni lazima.
Hiyo siyo kweli ni ulimbukeni!kila mwez kaka mwanasheria hawez rudia sut baada ya mwez
basi huyo ni mzalendo kwelikweliShemeji yangu ni nesi na juzi ametoka kichukua sare zake kwa fundi