Ndugu wajf habari!Ninaomb msaada wenu
Nina nyumba yenye madirisha manne yenye vipimo vifuatavyo-Mawili ni cm 120 kwa 120cm,Moja ni 100cm kwa 120cm urefu na lingine ni 80 kwa 120 cm.Ninapenda kuweka vioo vya aluminium vya kuslide hivyo ninaomba kwa wanaofaham kwa kadirio la haraka vitanigharimu kiasi gani ikiwa ni pamoja grili zake.Kwa Arusha au Singida nitapat wap kwa bei nafuu ?
Nawasilisha