mabutu1835
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 790
- 1,252
Naomba kusainiwa ndugu zangu hivi hizi jumuiya na seli za wakristo lengo lake hasa ni nini? Mbona sioni cha ziada, zaidi ya michango na kufokewa?
Hizi jumuiya na seli zimekuwa kama vile mtego kwa wakristo wote, ooh haionekani seli/jumuiya anyimwe huduma. Yeyote mwenye kujua dhima na faida za jumuiya/seli aje atupe darasa.