Rastafarian 25
Member
- Dec 25, 2020
- 28
- 49
Habari wanandugu, poleni na majukumu ya kila siku, wala siwapi faraja sababu najua tutapumzika kaburini
Kuna jambo limekua kama katabia siku hizi, watu wanakunywa virutubisho na vichocheo vya mwili sana yani katika kukuza ama kuactivate miili yao, naamini hata siku hizi mmekutana na watu wakitangaza hadharani mambo kama hayo.
Swali langu ni kuwa nataka kujua Je, kuna madhara katika kutumia hizi mambo, maana toa wote siku hizi hili wimbi la vijana kujibugia madawa na kupakaa Titan gel na mavitu mengine kukuza maumbile yao ya kiume limekuwa linanisumbua kichwa sana, sababu uhalisia unapotea kabisa mtu anashift kutoka 4 inch ma 5 inch anakuja kwenye 8 inch huko aisee alafu unakuta wengine tumekomaa na mahali tulipo tu kwa kuzaliwa si tutaonekana hakuna jambo?
Mtu anapaka mkongo ama anakunywa viagra kwa ajili ya mamiloo alafu wewe unaenda kukwichikwichi bila kupaka kitu si utaonekana wakike tu? Hebu tuwekane wazi wakuu maana bora hata hawa wanaokunywa viagra na kupaka mikongo najua baada ya muda hawataweza tembea show bila hizo, ila vipi kuhusu hawa wanaofanya body transformation?
Mwenye uzoefu ama aliyewahi kukutana na mtu amedhurika na hizi mambo za kukuza maumbile aseme hapa jamani ama laa hakuna madhara na mimi ni bora nijitose tu kuliko kukaa nyumanyuma kama koti.