Madhara ya kulala muda mchache

Jan 4, 2014
35
11
Habar wana jamvi ,
Naomba kuuliza ni madhara gani mtu anaweza kuyapata endapo mtu atalala kwa muda mfupi kwa mfano mimi huwa nalala masaa mawili 2 tuu kwa siku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…