kwa hiyo kama ni ya mwaka juzi sisi tusione ? acha uchoyo we dogoPicha ya mwaka juzi hio.
Kuna thread yake hapa.
kwahiyo waliojiunga jf mwaka huu hawatakiwi kuionaPicha ya mwaka juzi hio.
Kuna thread yake hapa.
sijasema hivyo.kwahiyo waliojiunga jf mwaka huu hawatakiwi kuiona
Hapo si anyoshe tu hadi gesti
maana yangu ni kuwa huyo dada alifumaniwa ndio akachukua boda fasta ili asepeWengine hawakuwa member wa JF wakati huo, mie ni miongoni mwao