malikafif84 Member Feb 6, 2013 39 31 May 14, 2017 #1 Uhakiki uendelee na kwenye Leseni feki za Class C na E maana hawa ndiyo Madereva wenye dhamana kubwa ya kubeba Abiria na Mali.
Uhakiki uendelee na kwenye Leseni feki za Class C na E maana hawa ndiyo Madereva wenye dhamana kubwa ya kubeba Abiria na Mali.
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Dec 14, 2016 13,998 31,742 May 14, 2017 #2 malikafif84 said: Uhakiki uendelee na kwenye Leseni feki za Class C na E maana hawa ndiyo Madereva wenye dhamana kubwa ya kubeba Abiria. Click to expand... Nani kakwambia E anabeba abiria?
malikafif84 said: Uhakiki uendelee na kwenye Leseni feki za Class C na E maana hawa ndiyo Madereva wenye dhamana kubwa ya kubeba Abiria. Click to expand... Nani kakwambia E anabeba abiria?
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Aug 7, 2014 92,214 111,726 May 14, 2017 #3 Umeanza lini huyo uhakiki?
malikafif84 Member Feb 6, 2013 39 31 May 14, 2017 Thread starter #4 Mndali ndanyelakakomu said: Nani kakwambia E anabeba abiria? Click to expand... Mwenye Class E anaendesha lori kwani unavyojua Tonboy anakuwa kama nani pale?
Mndali ndanyelakakomu said: Nani kakwambia E anabeba abiria? Click to expand... Mwenye Class E anaendesha lori kwani unavyojua Tonboy anakuwa kama nani pale?
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Dec 14, 2016 13,998 31,742 May 14, 2017 #5 malikafif84 said: Mwenye Class E anaendesha lori kwani unavyojua Tonboy anakuwa kama nani pale? Click to expand... Wewe kweli uko Tanzania ta Kongo umemwita tanboy halfu unauliza anakuwa nani yule sio abiria ni msaidizi wa dereva
malikafif84 said: Mwenye Class E anaendesha lori kwani unavyojua Tonboy anakuwa kama nani pale? Click to expand... Wewe kweli uko Tanzania ta Kongo umemwita tanboy halfu unauliza anakuwa nani yule sio abiria ni msaidizi wa dereva
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,470 70,588 May 14, 2017 #6 Kwa nini isiwe kwa leseni zote mkuu?
malikafif84 Member Feb 6, 2013 39 31 May 14, 2017 Thread starter #7 Joseverest said: Kwa nini isiwe kwa leseni zote mkuu? Click to expand... Pia sio mbaya japo niliwalenga waliopewa dhamana ya kubeba abiria na mali.
Joseverest said: Kwa nini isiwe kwa leseni zote mkuu? Click to expand... Pia sio mbaya japo niliwalenga waliopewa dhamana ya kubeba abiria na mali.
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,470 70,588 May 14, 2017 #8 malikafif84 said: Pia sio mbaya japo niliwalenga waliopewa dhamana ya kubeba abiria na mali. Click to expand... Ahaa sawa
malikafif84 said: Pia sio mbaya japo niliwalenga waliopewa dhamana ya kubeba abiria na mali. Click to expand... Ahaa sawa
malikafif84 Member Feb 6, 2013 39 31 May 14, 2017 Thread starter #9 Joseverest said: Ahaa sawa Click to expand... Unajua hayo madaraja ili uwe nayo inabidi ukasome NIT au Veta lakini wengi hawaendi kusoma na bado wanapata hayo madaraja kwenye leseni zao.
Joseverest said: Ahaa sawa Click to expand... Unajua hayo madaraja ili uwe nayo inabidi ukasome NIT au Veta lakini wengi hawaendi kusoma na bado wanapata hayo madaraja kwenye leseni zao.
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,470 70,588 May 14, 2017 #10 malikafif84 said: Unajua hayo madaraja ili uwe nayo inabidi ukasome NIT au Veta lakini wengi hawaendi kusoma na bado wanapata hayo madaraja kwenye leseni zao. Click to expand... watu tunapenda shortcut sana
malikafif84 said: Unajua hayo madaraja ili uwe nayo inabidi ukasome NIT au Veta lakini wengi hawaendi kusoma na bado wanapata hayo madaraja kwenye leseni zao. Click to expand... watu tunapenda shortcut sana
Glenn JF-Expert Member May 23, 2015 67,917 162,097 May 14, 2017 #11 Mndali ndanyelakakomu said: Nani kakwambia E anabeba abiria? Click to expand... Labda anabeba watu wa mnadani kwenye lori
Mndali ndanyelakakomu said: Nani kakwambia E anabeba abiria? Click to expand... Labda anabeba watu wa mnadani kwenye lori
Glenn JF-Expert Member May 23, 2015 67,917 162,097 May 14, 2017 #12 malikafif84 said: Mwenye Class E anaendesha lori kwani unavyojua Tonboy anakuwa kama nani pale? Click to expand... D hapakiagiagi abiria?
malikafif84 said: Mwenye Class E anaendesha lori kwani unavyojua Tonboy anakuwa kama nani pale? Click to expand... D hapakiagiagi abiria?
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Dec 14, 2016 13,998 31,742 May 14, 2017 #13 QUIGLEY said: Labda anabeba watu wa mnadani kwenye lori Click to expand... zile za mnadani wanalazimisha inatakiwa ibebe mizigo ya abiria na sio abiria
QUIGLEY said: Labda anabeba watu wa mnadani kwenye lori Click to expand... zile za mnadani wanalazimisha inatakiwa ibebe mizigo ya abiria na sio abiria