Made in Tanzania, simulizi ya kweli

LA7

JF-Expert Member
Aug 26, 2019
623
2,278
Nakumbuka nilikuwa mkoa wa Manyara basout nilipokuwa naishi ni kama km 7 ufike Madukani.

Sasa baiskel yangu ili kufa msumari tairi la nyuma uzuri Mimi mwenyewe ni fundi basi nikaenda dukani kwa mguu kwa kutembea na mguu maana nilikosa hata baiskeli ya kuazima sababu Mimi sio mwenyeji sana huko.

Nilipofika dukani nikatoa buku jero nikapewa msumari nikarudi nyumbani, nilipo fika nakauweka kila kitu poa sasa wakati naanza kukaza nikashangaa msumari umeliwa yaani nati inazunguka tu.

Nikarudi tena dukani maana kesho yake nilitakiwa nirudi Singida kuiwahi mvua nivuke mbuga kabla haijawa mbichi, nikanunua nikarudi nikaja kuufunga kuukaza tena ikawa vile vile nati inazunguka tu imekula msumari, nikawa najiuliza hii misumari vipi.

Kuja kutazama vizuri kasha, imeandikwa NYUMBU.
 
Back
Top Bottom