Madaraka ya Kulevya (Lyrics) - Weusi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,686
6,484
Madaraka ya Kulevya
Lyrics

Madaraaaa Madaraka x2
Umenipa madaraka ya kulevya
Ooh baby
Nayumba nateleza
Umenipa madaraka ya kulevya
Oo darling
Naimba napoteza x2

Nikki wa Pili
Mjini nimedondoka kama chopa, chopa star...
Wananiita zee la makopa
Zee la kulia mtoto hawezi toka
Watoto wanang'oka
Zangu mimi ni kung'arisha moka
Napenda malight camera action
Na malikes nyomi attention
Nyumbani situlii na mummy
Zangu ni vijiwe na kina naniii
Napendaga makiki kama msanii
Nanii, tukipiga picha nipost
Napenda mafollowers
Napendaga makiki kama msaniii


Chorus
Umenipa madaraka ya kulevya
Ooh baby
Nayumba nateleza
Umenipa madaraka ya kulevya
Oo darling
Naimba napoteza x2

Joh Makini
Kila nikiona kibinda mi nadinda
Kila nikiona kibinda mi nawinda
Kidinda kikidinda nakitia ndinda
Wananiita mzee wa vibunda
Na mbele zikivimba nazitoa mimba
Mke wangu kila siku namtoa mapovu
Nimeshaonywa sana na baba askofu
Sijui shetani gani ameniingia
Nimeshaombewa sana na kila parokia
Na bado kila demu mkali mi narukia
Nazama next door na majala
Nakata kwa watoto na katoto nyumbani haa kajala
Mastaa Bongo muvi wananiitaga danga
Napiga mablunder
Vitumbua vinanijua bingwa la kutia mchanga
Napiga mablunder
Naishi kama kwangu na nyumba ni ya kupanga
Vitu vinaenda nganganga


Chorus
Umenipa madaraka ya kulevya
Ooh baby
Nayumba nateleza
Umenipa madaraka ya kulevya
Oo darling
Naimba napoteza x2

G-Nako
Dereva nagonga miti
Aaacha, hiyo si sawa dereva una mkeo
Mzee nina midananda kibao
Sijui kutongoza msaada ni wao
Mdanada ukizingua mambao
Zee la mipango
Zee la majigambo
Natembelea ndoa ndoano, nawavua
Kijani naitia nyekundu, natibua
Na urithi baba alishaniahidi, nazitumbua
Ndugu wanalia nauchubua
Mke wangu yuko home nguo zangu anazifua
Mi niko guest flani zangu navua

Chorus
Umenipa madaraka ya kulevya
Ooh baby
Nayumba nateleza
Umenipa madaraka ya kulevya
Oo darling
Naimba napoteza x2
 

Attachments

  • Weusi - Madaraka ya Kulevya.mp3
    3.6 MB

Similar Discussions

Back
Top Bottom