Madaraka ya Kulevya: Kundi la Weusi wamemuimba nani?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
51,987
114,301
Wakuu kuna wimbo mpya wa Kundi la Joh Makini na G.Nako unaitwa Madaraka ya Kulevya. Wimbo huo una mistari inayofikirisha sana.

Baadhi ya Mistari ya Track hivyo
1.Umenipa madaraka ya Kulevya
2.Napendaga makiki kama msanii
3.Napenda makamera na ma-like
4.Napenda attention

Updates
Nimebaini wimbo huu kaimbwa Mkuu wa Mkoa

 
Nyimbo nzuri ila wapunguze uwoga hajatajwa mtu jina nikkwapili anaanza kujitete kwenye ukurasa wa istargram kipindi hiki hiphop itapendwa zaidi kuliko bongo fleva kama watasmamia misingi ya haki bila uwoga kwa kutumia fasihi uficho bila kumtaja mtu jina.Hiphop misingi yake ilikuwa katika kudai haki
 
Screenshot_2017-03-27-11-42-19.png
 
Wakuu kuna wimbo mpya wa Kundi la Joh Makini na G.Nako unaitwa Madaraka ya Kulevya. Wimbo huo una mistari inayofikirisha sana.

Baadhi ya Mistari ya Track hivyo
1.Umenipa madaraka ya Kulevya
2.Napendaga makiki kama msanii
3.Napenda makamera na ma-like
4.Napenda attention

Nitauweka wimbo huu soon


Wekeni audio basi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom