Madaraja ya walimu yanapanda kwa utaratibu gani?

vicent moshi

Member
Apr 6, 2015
92
55
Nimetafuta kujua utaratibu wanaoutumia waandamizi tsd ni vigezo gani wanatumia kubadili madaraja ya waalimu naona sielewi vizuri naomba kujulishwa......
 
Onana na afisa tsd au afisa utumishi wanamajibu ya uhakika. Lazima ufuatilie kama umo kwenye mpango wa waliopanda au watakaopanda mwaka huu,halmashaur zngine watumish wa ajira 2013 wamepewa barua za kupanda tayar.kama ulihama au ulienda masomon hilo ni tatizo la kucheleweshwa kupanda.
 
We bure kabisa ,wenzio wameanza mwaka 2000 na mpaka leo hawajapanda we wa juzi tu hata hujapata TB kutokana na chaki upande cheo?
 
We bure kabisa ,wenzio wameanza mwaka 2000 na mpaka leo hawajapanda we wa juzi tu hata hujapata TB kutokana na chaki upande cheo?
Acha mambo hizo, makosa ya wengine ndo yawe yake? Ana haki kupanda hivyo apande tu
 
We bure kabisa ,wenzio wameanza mwaka 2000 na mpaka leo hawajapanda we wa juzi tu hata hujapata TB kutokana na chaki upande cheo?

Kwanza mwaka 2000 hakukua na ajira za walimu. Huyo alieajiliwa 2000 alialiajiriwa na nani?
 
Nimetafuta kujua utaratibu wanaoutumia waandamizi tsd ni vigezo gani wanatumia kubadili madaraja ya waalimu naona sielewi vizuri naomba kujulishwa......
Miaka mitatu unahama daraja,ila kama umeajiriwa 2013 kwenda mbele utapanda baada ya miaka minne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…