Madanguro yanayovunjwa na RC wa Dar ni kiduchu kwenye biashara moja kubwa sana

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,639
729,585
RC wa Dar bwana Charamila anajinasibu kwamba atakomesha madanguro ya Dar na tayari ameanza na Mwananyamala hospital penye danguro konge lenye malaya wa hali ya chini.

Mimi kwakweli nimecheka mno.. Maana hapa hakuna kitu bali ni kutafuta umaarufu hobela wa kisiasa
Biashara hii ya madanguro na ukahaba ni biashara kongwe kuliko zote duniani.. Huwezi kuiua kwa kuvunja vibanda vichache vilivyojichokea

Miji mikubwa kwasasa inaongoza kwa biashara ya ukahaba na madanguro..

Na ukiachana na aliyovunja mkuu wa mkoa madanguro halisi ni haya hapa

Bar na vipub
Gesti za bei poa
Vyumba/nyumba walizopanga wanafunzi na wahangaikaji mabinti hasa wenye ujira na vipato vidogo
Sehemu za starehe
Kwenye mapagale
Saluni za jinsia zote
Vibanda vya filamu
Chochoro za mitaani
Kuta za fence
Massage centers
Vibanda vya walinzi
Makaburini ninja

Hayo maeneo watu wanatandikwa acha kabisa.

Mabinti mitaani, wanafunzi na wanachuo ni business as usual. Wadada wa maofisini, Wake za watu nknk.

Kwasasa kwenye miji mikuu yote hakuna mji hata mmoja ambao walau unakosa nusu ya hiyo package hapo juu

Pale Mwananyamala bei ni buku 3 kimoja lakini kuna maeneo hicho kimoko hata jero unauziwa.. Na haya machimbo yapo ya kutosha sana kulingana na viwango na madaraja ni uwezo wako tu kumfuko

Kuna madanguro ya kisasa yalipozi kama nyumba za kupanga na mawasiliano ni online.. Kuna kila bei, kuanzia kufuatwa na gari mpaka kwenda mwenyewe

Kwa kukurupuka kwake atapata hivyo viajuza kwenye mabanda chokambaya..kuna madanguro mpaka ya raia wa kigeni na yanalindwa na askari wenye silaha za moto ziitwazo bunduki na bastola viunoni

RC akiweza asitishe kwanza hili zoezi halafu mwenyewe aingie front mitandaoni
Telegram
WhatsApp
FFacebook
Badoo
Instagram
Huko kuna malaya Wote
Huko kuna mashoga wote
Huko kuna madanguro yote
Huko kuna connections zote za uzinzi
Huko kuna makuwadi na madalali wote..

Hapa mjini kuna tax, boda, magari binafsi ambavyo kazi yake ni kubeba wauza nyama tuu na wateja wao.. Na sasa hivi kuna baadhi ya magari kama alphard full tinted ndani ni gesti inayotembea

Aingie huko ajivinjari vya kutosha bila dereva wala kupoteza muda na mafuta.. Akiona kila kitu aite jopo la wataalam wamshauri kitaalam namna ya kupunguza tatito na kulinda afya za watumiaji huku pengine akiangalia namna ya kurasimisha.

Hiki anachofanya sasa ni mbinu ya kijima mno na haijawahi kufanikiwa kabisaa.
 
Umalaya umekita hatamu ,nilishangaa kuona RC anaenda Sehemu za wachovu waliokata tamaa badala hata angejaribu kuona kinachoendelea kitambaa cheupe jinsi watoto wa kike wavyopigishwa Saba.

Huwezi kuondoa tatizo kwa kugusa tabaka la mwisho na wachovu ,ninani asiyeijua kuwa Malaya wa madanguro niwachovu na wamechoka kupita kiasi.

Nb: Mtu yoyote asithubutu kwenda kulala na Malaya wa kimboka au madanguro au mtandaoni Kama unajijua haupo vizuri kiroho.
 
Umalaya umekita hatamu ,nilishangaa kuona RC anaenda Sehemu za wachovu waliokata tamaa badala hata angejaribu kuona kinachoendelea kitambaa cheupe jinsi watoto wa kike wavyopigishwa Saba .

Huwezi kuondoa tatizo kwa kugusa tabaka la mwisho na wachovu ,ninani asiyeijua kuwa Malaya wa madanguro niwachovu na wamechoka kupita kiasi.


Nb: mtu yoyote asithubutu kwenda kulala na Malaya wa kimboka au madanguro au mtandaoni Kama unajijua haupo vizuri kiroho.
Anzeni ninyi kwanza kuwakataa hao malaya huko vitambaa vyeupe...

It begins with u...GIGOLOS'
 
Chalamila alikuwa RC wa Mbeya,Mwanza,Kagera! Angetueleza hali ya Ukahaba katika mikoa hiyo ambayo na yenyewe imebobea kwa biashara hiyo na alifanya nini!

lKwa kifupi vita yake dhidi ya Ukahaba atachemka siyo muda mrefu! Yeye siyo RC wa kwanza kwa Dar kutangaza vita dhidi ya biashara hii. Kama sikusahau RC nayemkumbuka alifanya vita hii akachemka alikuwa Yusufu Makamba!
Biashara ya ukahaba ni janga la dunia nzima!

Nikumwachia Mungu tu aishughulikie Yeye Mwenyewe!
 
Kwa kifupi vita yake dhidi ya Ukahaba atachemka siyo muda mrefu! Yeye siyo RC wa kwanza kwa Dar kutangaza vita dhidi ya biashara hii. Kama sikusahau RC nayemkumbuka alifanya vita hii akachemka alikuwa Yusufu Makamba!
Biashara ya ukahaba ni janga la dunia nzima!
Nikumwachia Mungu tu aishughulikie Yeye Mwenyewe!
Eti unamuachia Mungu.Mungu.anafurahia umalaya?

Kila kitabu na zama zake

Kuna yaliyowashinda waliotangulia wengine waliofuata wakaweza .Keani hao uliowataj ni miungu kuwa wao pekee ndio wangeweza?
 
Eti unamuachia Mungu.Mungu.anafurahia umalaya?

Kila kitabu na zama zake

Kuna yaliyowashinda waliotangulia wengine waliofuata wakaweza .Keani hao uliowataj ni miungu kuwa wao pekee ndio wangeweza?
Sijasema Mungu anafurahia Ukahaba,lakini huwezi kuipiga vita hii shughuli ukaiweza!
Yesu Kristo mwenyewe alisema hiki ni Kizazi cha Zinaa na dhambi.
 
Back
Top Bottom