Kama ni kweli anayoyasema Tundu Lissu kuhusu Serikali kutomlipa haki zake kwa nini Serikali ikae kimya?. Anatakiwa alipwe stahiki zake mfano
(1) Mishahara tangu alipopigwa risasi mpaka mwisho wa kipindi cha ubunge wake.
(2) Gharama zote za matibabu na anatakiwa kuwasilisha nyaraka zote zitakazothibitisha matibabu yake.
Nchi yetu inafuata utawala wa kisheria na haki na kama madai yake ni ya haki basi Serikali imlipe.
Hizi chokochoko zake zinatokana na hasira aliyo nayo akiona kuwa Serikali haimtendei haki.
Siku atakapolipwa chuki yake itapungua kwa asilimia 90 dhidi ya Serikali.
Pia soma