Madai ya Nabii Elen G. White alifundisha kuwa kupiga picha ni aina ya Ibada ya sanamu yana ukweli kimaandiko?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
3,780
8,358
Madai ya Nabii Elen G. White alifundisha kuwa kupiga picha ni aina ya Ibada ya sanamu yana ukweli kimaandiko?

Wadau hamjamboni nyote?

Leo tena nimekuja na nukuu ya kiswahili na kiingereza ya Nabii mke wa Kanisa la Waadventista Wasabato Elen G. White inayoashiria kuwa "kupiga picha ni ibada ya sanamu' - White, Messages to Young People, p. 316.

Nukuu ya Kiswahili:

“Kutengeneza na kubadilishana picha huku ni aina ya Ibada ya sanamu. Shetani anafanya yote awezayo ili kuifunika mbingu machoni petu. Tusimsaidie kwa kutengeneza sanamu za picha”

Nukuu ya Kiingereza:

"This making and exchanging of photographs is a species of Idolatry. Satan is doing all he can to eclipse heaven from our view. Let us not help him by making picture-idols”




Hata hivyo yeye mwenyewe mara kadhaa alipenda kupiga picha kinyume kabisa na mafundisho yake mwenyewe!


Karibuni tujadili wasomi wetu wa theolojia

Niwatakie jumapili njema
 

Attachments

  • 220px-Ellen_G._White_(1878).jpg
    220px-Ellen_G._White_(1878).jpg
    21.7 KB · Views: 7
  • 800px-Ellen_G._White.jpg
    800px-Ellen_G._White.jpg
    238.5 KB · Views: 8
Back
Top Bottom