KUKU_UFUGAJI
JF-Expert Member
- Nov 4, 2016
- 857
- 1,727
Baada ya Baba levo kusimulia chanzo cha ugomvi wake yeye na Harmonize, kuwa ni chipsi alizopewa CASINO kiasi cha Milioni 10 ili agawane nawenzie ambao alikuanao hapo casino ambao kati yao alikuwepo Rayvanny, Harmonize, Abbah process na wengineo, Fredrick Bundala SKY WALKER alishusha comment yake ambayo aliandika ivi.
“Chips (za kuchezea kamari) za milioni 10 ndio zikafanya watu wakaribie kutoana roho? Kama ni kweli na wasanii waliotajwa ndio alikuwa agawane nao hela waliyopewa na 'tajiri' basi industry yetu ya muziki ina safari ndefu sana!”
Una maoni gani juu ya simulizi hii ya Baba levo na Harmonize? Dondosha Comment yako hapo chini.