Mada:Wajibu wa viongozi wa dini kwa jamii.
Kipindi ndi kinaanza.
Kwa mnaopenda kufuatilia msikilizeni.
Mtangaziji kaamuliza ilikuwaje ukakaa karibu na Naibu Sipika wakati wa kupiga picha?
Jibu lake:Ni kwasababu Raisi alisema mimi ni mfupi basi akanitaka nikae mbele na Raisi siwezi kumpinga.Kasema Raisi ndie alimtaka asimame pale anapoonekana kasimama kwenye ile picha.