Mada 4 muhimu za kuongea na mwanamke ili kujuana zaidi

Infinite_Kiumeni

JF-Expert Member
Jan 23, 2023
382
670
Hivi ni vitu vitakavyowafanya nyote muone mmepata muda mzuri na kujuana. Mada hizi zitakusaidia kuepuka mada ambazo zitapunguza kasi ya mwanamke kukupenda. Mfano, kumuambia kuwa unampenda mapema sana hata kabla hujamjua vizuri tabia yake na kuamua kama unaweza kuishi naye. Na kwa wale wanaojiona wanadharauliwa na mwanamke mwenye pesa/ aliyefanikiwa itakusaidia akuone wa thamani. Uzuri wa hizi mada unaweza kutumia ukitaka kumjua mtu yoyote kiundani.

Anapenda kufanya nini. Kitu gani kinampa motisha ya kufanya vitu? Kitu gani anapenda kufanya ukiachana na kazi yake? (kwa mimi anayesema anapenda kulala huyo najua hanifai). Pia na wewe umwambie kwa upande wako. Hapo utajua kama huyo mwanamke mtaendana au la, usiangalie uzuri wa mwili ukapuuzia mambo ya muhimu. Lazima uwe na viwango.

Ana malengo gani kimaisha. Angependa awe sehemu gani baada ya miaka mitano? Anajiona nani baada ya miaka mitano? Je, akipata anachokitaka atakua na tabia gani?. Na wewe unampa kwa uchache juu ya malengo yako.

Kitu gani kinamvutia au nani anayemvutia na kumpa motisha. Muulize kuhusu watu wanaomvutia na kwanini au nchi/mkoa unaomvutia na kwanini au hata kitu kinachompa motisha ya kuamka asubuhi na kwenda kazini. Pia na wewe unampa vya upande wako.

Anaogopa nini kwenye maisha. Kuna mwanamke nilikua naye, yeye aliniambia anaogopa na anaona hastili kupendwa. Nikajua kabisa sitoweza kuwa naye, siwezi kuwa mwokozi wake wa anachokiogopa, na nikajua hatoweza kujitoa 100% kwenye penzi letu kama anaona hastahili. Na wewe unaweza kumwambia kwa uchache kuhusu unavyoviogopa.

Ila usikae kuuliza tu maswali, utajibiwa kiufupi. Njia nzuri ni kutangulia kutoa stori fupi inayoelezea kile unachotaka kuzungumzia kisha muulize na yeye. Mfano, kama unataka kuwa dokta mkubwa, tafuta stori fupi inayoelezea furaha uliyonayo kusaidia watu, au kama unavutiwa na CR7, tafuta stori inayokuhusu wewe jinsi CR7 anavyokupa motisha kwenye maisha yako na kwanini au unakisema unachokiogopa katika stori na sio moja kwa moja kuwa unaogopa kusemwa na watu vibaya. Hapo utajua mwanamke uliyenaye ana kitu zaidi ya uzuri wake au yupoyupo tu na kama anafikia viwango ulivyojiwekea ili uweze kujenga naye maisha.
 
Hivi ni vitu vitakavyowafanya nyote muone mmepata muda mzuri na kujuana. Mada hizi zitakusaidia kuepuka mada ambazo zitapunguza kasi ya mwanamke kukupenda. Mfano, kumuambia kuwa unampenda mapema sana hata kabla hujamjua vizuri tabia yake na kuamua kama unaweza kuishi naye. Na kwa wale wanaojiona wanadharauliwa na mwanamke mwenye pesa/ aliyefanikiwa itakusaidia akuone wa thamani.
Uzuri wa hizi mada unaweza kutumia ukitaka kumjua mtu yoyote kiundani.
.
Anapenda kufanya nini. Kitu gani kinampa motisha ya kufanya vitu? Kitu gani anapenda kufanya ukiachana na kazi yake? (kwa mimi anayesema anapenda kulala huyo najua hanifai). Pia na wewe umwambie kwa upande wako. Hapo utajua kama huyo mwanamke mtaendana au la, usiangalie uzuri wa mwili ukapuuzia mambo ya muhimu. Lazima uwe na viwango.
.
Ana malengo gani kimaisha. Angependa awe sehemu gani baada ya miaka mitano? Anajiona nani baada ya miaka mitano? Je, akipata anachokitaka atakua na tabia gani?. Na wewe unampa kwa uchache juu ya malengo yako.
.
kitu gani kinamvutia au nani anayemvutia na kumpa motisha. Muulize kuhusu watu wanaomvutia na kwanini au nchi/mkoa unaomvutia na kwanini au hata kitu kinachompa motisha ya kuamka asubuhi na kwenda kazini. Pia na wewe unampa vya upande wako.
.
Anaogopa nini kwenye maisha. Kuna mwanamke nilikua naye, yeye aliniambia anaogopa na anaona hastili kupendwa. Nikajua kabisa sitoweza kuwa naye, siwezi kuwa mwokozi wake wa anachokiogopa, na nikajua hatoweza kujitoa 100% kwenye penzi letu kama anaona hastahili. Na wewe unaweza kumwambia kwa uchache kuhusu unavyoviogopa.
.
Ila usikae kuuliza tu maswali, utajibiwa kiufupi. Njia nzuri ni kutangulia kutoa stori fupi inayoelezea kile unachotaka kuzungumzia kisha muulize na yeye. Mfano, kama unataka kuwa dokta mkubwa, tafuta stori fupi inayoelezea furaha uliyonayo kusaidia watu, au kama unavutiwa na CR7, tafuta stori inayokuhusu wewe jinsi CR7 anavyokupa motisha kwenye maisha yako na kwanini au unakisema unachokiogopa katika stori na sio moja kwa moja kuwa unaogopa kusemwa na watu vibaya. Hapo utajua mwanamke uliyenaye ana kitu zaidi ya uzuri wake au yupoyupo tu na kama anafikia viwango ulivyojiwekea.
 
Hivi ni vitu vitakavyowafanya nyote muone mmepata muda mzuri na kujuana. Mada hizi zitakusaidia kuepuka mada ambazo zitapunguza kasi ya mwanamke kukupenda. Mfano, kumuambia kuwa unampenda mapema sana hata kabla hujamjua vizuri tabia yake na kuamua kama unaweza kuishi naye. Na kwa wale wanaojiona wanadharauliwa na mwanamke mwenye pesa/ aliyefanikiwa itakusaidia akuone wa thamani.
Uzuri wa hizi mada unaweza kutumia ukitaka kumjua mtu yoyote kiundani.
.
Anapenda kufanya nini. Kitu gani kinampa motisha ya kufanya vitu? Kitu gani anapenda kufanya ukiachana na kazi yake? (kwa mimi anayesema anapenda kulala huyo najua hanifai). Pia na wewe umwambie kwa upande wako. Hapo utajua kama huyo mwanamke mtaendana au la, usiangalie uzuri wa mwili ukapuuzia mambo ya muhimu. Lazima uwe na viwango.
.
Kupenda kulala kuna shida gani
 
Hivi ni vitu vitakavyowafanya nyote muone mmepata muda mzuri na kujuana. Mada hizi zitakusaidia kuepuka mada ambazo zitapunguza kasi ya mwanamke kukupenda. Mfano, kumuambia kuwa unampenda mapema sana hata kabla hujamjua vizuri tabia yake na kuamua kama unaweza kuishi naye. Na kwa wale wanaojiona wanadharauliwa na mwanamke mwenye pesa/ aliyefanikiwa itakusaidia akuone wa thamani.
Uzuri wa hizi mada unaweza kutumia ukitaka kumjua mtu yoyote kiundani
.
Anapenda kufanya nini. Kitu gani kinampa motisha ya kufanya vitu? Kitu gani anapenda kufanya ukiachana na kazi yake? (kwa mimi anayesema anapenda kulala huyo najua hanifai). Pia na wewe umwambie kwa upande wako. Hapo utajua kama huyo mwanamke mtaendana au la, usiangalie uzuri wa mwili ukapuuzia mambo ya muhimu. Lazima uwe na viwango.
.
Ana malengo gani kimaisha. Angependa awe sehemu gani baada ya miaka mitano? Anajiona nani baada ya miaka mitano? Je, akipata anachokitaka atakua na tabia gani?. Na wewe unampa kwa uchache juu ya malengo yako.
.
kitu gani kinamvutia au nani anayemvutia na kumpa motisha. Muulize kuhusu watu wanaomvutia na kwanini au nchi/mkoa unaomvutia na kwanini au hata kitu kinachompa motisha ya kuamka asubuhi na kwenda kazini. Pia na wewe unampa vya upande wako.
.
Anaogopa nini kwenye maisha. Kuna mwanamke nilikua naye, yeye aliniambia anaogopa na anaona hastili kupendwa. Nikajua kabisa sitoweza kuwa naye, siwezi kuwa mwokozi wake wa anachokiogopa, na nikajua hatoweza kujitoa 100% kwenye penzi letu kama anaona hastahili. Na wewe unaweza kumwambia kwa uchache kuhusu unavyoviogopa.
.
Ila usikae kuuliza tu maswali, utajibiwa kiufupi. Njia nzuri ni kutangulia kutoa stori fupi inayoelezea kile unachotaka kuzungumzia kisha muulize na yeye. Mfano, kama unataka kuwa dokta mkubwa, tafuta stori fupi inayoelezea furaha uliyonayo kusaidia watu, au kama unavutiwa na CR7, tafuta stori inayokuhusu wewe jinsi CR7 anavyokupa motisha kwenye maisha yako na kwanini au unakisema unachokiogopa katika stori na sio moja kwa moja kuwa unaogopa kusemwa na watu vibaya. Hapo utajua mwanamke uliyenaye ana kitu zaidi ya uzuri wake au yupoyupo tu na kama anafikia viwango ulivyojiwekea ili kujenga naye maisha.
 
Mimi najua Mada 4 za Muhimu kumuonesha uwezo wako wa KIFEDHA,KUJIAMINI,KUMTHAMNI,Na kumfanya ajione ni Priority kwako.Na wewe ukiona Mwanamke kaelewa na kuridhika na hali yako ya kifedha,akaonesha kukuheshimu.Akakuthamni na kukufanya Priority kwake basi Mnakuwa na chemistry nzuri

Mengine ni kuelewa tu baada ya muda things tend to fade away kadiri mnavokuwa katika mahusiana na ni jukumu la kila mmoja wenu kuhakikisha kwamba vile ambavyo viliwaleta pamoja vinaendelea kuwepo or else you will be strangers sharing a BED.

Nimeona umeandika sana nikahis utakuwa hujayaexperience mahusiono na UPS and DOWN zake so kam Mzee Mzoefu niweke NENO.
 
Mengine ni kuelewa tu baada ya muda things tend to fade away kadiri mnavokuwa katika mahusiana na ni jukumu la kila mmoja wenu kuhakikisha kwamba vile ambavyo viliwaleta pamoja vinaendelea kuwepo
Umesema vizuri juu.
Lakini hicho kitu hapo ni hatari na ndo kinaumiza sana wanaume.
Mtu mwenye tabia fulani ni ngumu kubadilika, wengi hujiaminisha atabadilika au nitambadilisha, mwishowe wanaishia kuhangaika na wanawake. Hata wanawake inawakuta hii, kwamba anajiaminisha kwamba baada ya muda vitu vitabadilika lakini wanaishia kuumia.
 
Wala hatutaki hayo...tunataka tu utufungulie mlango wa gari na utuvutie kiti tukae..hayo mengine inshallah mbele ya safari
 
Short cut ya hayo yote ni fweza

Ni kwa scenario chache sana ambapo pesa inaweza ikakwama
 
Back
Top Bottom