realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 1,646
- 3,386
Uzoefu unaonesha kuwa viongozi wengi husikiliza zaidi maneno ya kuambiwa bila wao wenyewe kufanya tafiti.
Unakuta kiongozi imehamishiwa mahali akiwa tu mgeni anaambiwa maneno nae anajiunga na watumishi wengine kumchukia mtu.
Halafu unakuta mtu anayechukiwa ni yule mchapakazi hivyo watahakikisha wanamvunja moyo.
Fanyeni kazi mlizopewa na sio chuki.