Habarini wakuu.
Kuna baadhi ya mabosi wana tabia ya ukali na kufokafoka bila sababu za msingi au kwa kosa dogo tu. Muda wote hawana furaha kwao hakuna kitu kizuri kila kitu kibaya.
Kwa tafiti yetu bubu kwa ushirikiano na wale warembo wa maofisi mabingwa wa kujilengesha kwa mabosi tumegundu kwamba hasira hizo zinatokana na kasoro za kutokufanya vizuri kwenye mambo ya kimapenzi na kuwafanya kuwa na tabia ya kutokujikubali ambayo wanajitahidi kupambana nayo. Hivyo wengi wao wana Kasoro mojawapo utatofaitisha kwa jinsia :
1. Wana vibamia na wengine hali ni mbaya mana ni kama kidole cha mwisho.
2. Hawafanyi mapenzi mara kwa mara hivyo huwa mfano wa maksai walivyoasiwa huwa wakali na nguvu ya kufanya kazi.
3. Hawana nguvu za kiume.
4. Hawana uzazi au uzazi wao ni wa shida.
5. Hawajui mapenzi na hawawatoshelezi wenza wao.
Hizo ni baadhi tu ya sifa wanazopungukiwa baadhi ya mabosi katika ofisi mbali mbali na kuwafanya eitha wawe na roho mbaya ya ukatili na hasira zisizoisha, chuki na visasi na kusababisha wale wanaowasimamia wakose amani kazini.
Tuwaombe tu wake zao, waume zao au wapenzi wa wenzetu wenye dosari kadhaa za kimapenzi wajitahidi kuwapa faraja ili kazini watumishi wengine wawe na amani na upendo. Amen.
Karibuni tutiririke