Devotha Joseph Swaja
New Member
- Jun 22, 2024
- 1
- 1
Teknolojia ni matumizi sahihi ya maarifa na zana za kisayansi katika kurahisisha na kuboresha kazi.
Haya ni maboresho ya Teknologia Katika kipindi cha miaka 25 ijayo, katika nchi ya Tanzania ili kufikia maendeleo endelevu na kuimarisha uchumi wa taifa. Teknolojia ina uwezo wa kuleta mapinduzi katika sekta zote za jamii kama elimu, afya, kilimo, na biashara. Katika makala hii, tutajadili maboresho yanayotakiwa kufanywa ili kufanikisha dira hii, na kutoa mifano halisi ya jinsi teknolojia inaweza kuboresha maisha ya Watanzania.