mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,843
- 51,464
Kibao kimegeuka,kama ulitaka kuoa kijijini think twice.
Maisha ya vijiji vingi ni magumu sana,mabadiliko ya tabia ya nchi yamefanya mavuno shambani kutoeleweka , milo mitatu vijiji vingi ni ndoto,chai hawaijui,njaa haina ubaunsa matokeo yake mabinti wa vjijini wameuza bikra zao kwa gharama ndogo sana.
Niko Kigoma kasulu kuna binti ana miaka 20 ana watoto wawili mmoja ana miaka mitano,mwingine miaka miwili,jiulize huyu kaanza mapenzi lini?sio yeye tu ni jambo la kawaida kwa huku binti kubeba mimba na miaka 14 au 15 BAKWATA wasipuuzwe kutaka ndoa za utotoni.
Pili wazazi huku kuna kitu hawakielewi,mtoto hakifika miaka mitano haruhusiwi kulala nyumba moja na wazazi,familia nyingi utakuta vibanda vitatu,nyumba kubwa ya wazazi ,ndogo mbili za watoto wa kike na kiume pembeni,hii hupelekea vibinti kutoroka usiku kufuata wanaume.
Tatu mabinti wa vijijini huwa hawaangalii tofauti ya umri kati yao na mchumba anayekuja,ni rahisi kukuta binti wa miaka 17 kuolewa na mzee wa above 50 kitu ambacho ni kigumu kwa mjini
Vijijini kuna wasimbe(singo mazas) wengi kuliko mjini.maana wanaingia kwenye ndoa bila kuelewa misingi ya ndoa.
Ukioa binti wa kijijini,kaeni hukohuko usimlete mjini,wakifika town huwa wanaingiwa na kichaa ama wenge na kuwa mapepe kuliko wazawa,utagongewa mtaa mzima
Utaoa kijijini?oa at your own risk