The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,426
- 10,927
Ndugu wajumbe,ubora wa Vyuo Vikuu hupimwa Kwa Wingi wa tafiti na machapisho ya kitaalmu.
Kwa mujibu wa taarifa ya jarida la masuala ya Elimu ya Juu,Limetaha Vyuo 10 Bora Barani Afrika Kusini mwa jangwa la Sahara ambapo Chuo Kikuu Muhimbili kimeshika nafasi ya 3 na Chuo Kikuu Ardhi kimeshika nafasi ya 10 kama vyuo Vikuu pekee Kwa Tanzania.
----
Chuo kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili cha Tanzania kimetajwa kushika nafasi ya tatu kwa ubora kusini mwa jangwa la Sahara kwenye ripoti iliyotolewa na Times Higher Education imeorodhesha vyuo vikuu bora katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara.
Kwenye Orodha hiyo pia mbali na Muhimbili pia chuo kikuu cha Ardhi kimetajwa kwenye nafasi ya 10.
Hivi ni vyuo vikuu bora katika Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kwa mujibu wa Times Higher Education;
View: https://twitter.com/BusInsiderSSA/status/1795057766521803169?t=vTWfBwbOjVxU4uPfm6OSww&s=19
1. Chuo Kikuu cha Witwatersrand – Afrika Kusini
2. Chuo Kikuu cha Johannesburg – Afrika Kusini
3. Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili – Tanzania
4. Chuo Kikuu cha Pretoria – Afrika Kusini
5. Chuo Kikuu cha Makerere – Uganda
6.Chuo Kikuu cha Western Cape – Afrika Kusini
7. Covenant University – Nigeria
8. UGHE – Chuo Kikuu cha Usawa wa Afya Ulimwenguni – Rwanda
9. Chuo Kikuu cha Ashesi – Ghana
10. Chuo Kikuu Ardhi – Tanzania
Orodha hiyo inalenga kuangazia taasisi za elimu ya juu barani Afrika pamoja na kushughulikia changamoto za elimu ya juu katika eneo hilo.
Source : SSA University Rankings
My Take
Msemo wa Wahenga,Usione Vyaelea vimeundwa.
Kwa miaka Mingi Vyuo Vikuu vya Tanzania vilipuuzwa Hadi maprofesa kuanza kukimbia kazi hiyo huku wengine wakisema wametolewa majalalani.
Lakini Rais Samia aliliona Hilo na kuamua kuwafuta machozi wasomi Wetu Kwa kuwarejesha vyuoni kufundisha na kufanya Utafiti.
Samia aliamua kutenga mabilioni ya Fedha za Utafiti Kwa Ajili ya wasomi Wetu,kuwasomesha na kuwaboreshea maslahi ambapo matunda yake Sasa yameanza kuonekana.
Eleweni kwamba ni fahari kuitangaza kazi nzuri za Samia Kwa sababu ni kweli amefanya,mnapohariri heading Huwa mnamsaidia nani Sasa? Kwa nini mnawashwa mkiona jina la Samia?
Samia(kizimkazi) Anatosha na Chenji inabaki.