Hivi karibuni bodi ya mikopo ya wanafunzi elimu ya juu imeelekeza wote wlionufaika na mikopo waanze kulipa ili wengine wakopeshwe.
Sasa kuna hawa waliokopeshwa mabilion ya JK, je nao wataanza kulipa lini ili wengine tukope? Ni bodi gani ilihusika kukopesha?
Mwenye ufahamu tujuze.