Kwanini?Mwishowe wataenda kuzungukia bamaga sasa.
kwanini mkuu??na ukitoka mkoani kama hujashuka stop over kimara utaiona kupitia madirishani hawaruhusiwi kushusha abiria kimara mwisho kwa mabus ya mkoani
Umeipima?ina tofauti gani na njia ya kutokea stendi kuupale nyuma ya kituo cha mafuta ile road ni nyembamba mno kwa mabasi
kweli kabisa hakuna coordination kwenye mipango yetu. kwa mfano ndiyo maana kila siku tuko busy kuhamisha nguzo za umeme na mabomba ili kupanua barabara.Tatizo letu kuu ni kutokuwa na uwezo wa kufanya long-term plan na mwisho wake ndio huu wa kutafuta pa kutokea baada ya mambo kupandiana, eeh Mungu tusaidie! Botha hakukosea alipozungumzia juu ya Mwafrika Vs mipango ya maendeleo!
Yawe yanaishia mbezi
KUMBE WENYEWE MKOOO.......? HILO ENEO LA UBUNGO MBONA HALIKIDHI MAHITAJI.......? KUKOKUKO KAMA HALINA MWENYEWE ZAIDI NI WIZI WA MCHANA KWA KUTOZWA USHURU USIOJULIKANA UNABORESHA NINI HAPO, HAKUNA MABANDA YA KUJIKINGA NA MVUA WALA JUA. HAKUNA VIBAO VINAVYOELEKEZA WALA NINI, FUNGENI ENEO HILO HALILINGANI NA HADHI YA JIJI LA DSM. HIVI MGENI TOKA NJE ANAPOSHUKA HAPO NA AKAKUMBANA NA MAZINGIRA MABOVU KAMA HAYO MNATOA PICHA GANI.....?TANGAZO KWA UMMA
Kuanzia Tarehe 08/04/2016 Siku ya Ijumaa Mabasi ya Mikoani yanayotoka ndani ya Kituo chetu cha Ubungo Yataanza kutumia Mzunguuko uliyosanifiwa wa Shekilango kwa kuzunguuka nyuma ya Kituo cha Mafuta cha Total (Nyuma ya Soko la shekilango) wakati wa kuanza safari zao za Mikoani.
Eneo lililokuwa limeachwa wazi kwa muda lililokuwa linayapitisha Mabasi kwenye barabara za BRT litafungwa rasmi ili kuwezesha Mabasi ya DART ambayo yameanza mazoezi kutokuwa na muingiliano na chombo kingine cha Usafiri kwenye barabara hizo. Uwazi utakaofungwa ni ule uliopo mkabala na Geti la kutokea na ule wa geti la Kuingilia. Aidha eneo la wazi kwenye Kituo cha DART Ubungo maji ambalo lilikuwa linatumiwa na Watumishi wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji Kuingia kwenye Jengo hilo Utafungwa pia.
Waliokuwa wakitumia uwazi huo wanashauriwa kutumia Usanifu wa mzunguuko ulioko eneo la Kimara Kibo (Rombo) kufanya tendo la kubadili uelekeo (Turning)
TAFADHALI SAMBAZA UJUMBE HUU KWA WENGINE