Pre GE2025 Mabalozi watakaohudhuria kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu et al, Wafukuzwe kutoka nchini

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

SYLLOGIST!

JF-Expert Member
Dec 28, 2007
8,545
8,029
Kwanini uhudhurio wa mabalozi hawa lazima upingwe.

Soma pia

Katika miaka ya hivi karibuni, mabalozi wa kutoka Ulaya wamekuwa wakivuka mipaka yao wakiingilia michakato ya kisiasa na ya kisheria, serikali na mahakama kwenye Taifa letu huru la Tanzania huku wakipuuzia yanayojiri katila nchi zao.

Umduminakuwili huu uliyoonyeshwa waziwazi na kesi iliyomkabili Marine Le Pen mchini Ufaransa-ambapo hukusikia ama kuona mabalozi ama wanadiplomasia wa kigeni wakihudhuria-inazua swali la msingi:

Kwanini Wanadiplomasia hawa hawa wanataka kuhudhuria kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu na wenzake?

Watanzania wenzangu na wananchi wote wazalendo: Kufukuzwa kwa mabalozi hawa watakaohusika katika uingiliaji huu wa kimahakama sio tu utawatumia ujumbe kwamba waheshimu Charter ya Umoja wa Mataifa-Principles of Non-interference in domestic affairs, na sheria na kanuni zingine zinazoongoza wajibu wa Mabalozi hao wakiwa nchi za kigeni. e.g Montevideo Convention on the rights and duties of states, bali ni hatua ya lazima ili kulinda uhuru wetu, uhuru wa mahakama, na utawala wa kitaifa.

Wananchi, kwa kuruhusu mabalozi hawa kutoka Ulaya kuwa na ushawishi juu ya masuala ya kisheria, tena ya ndani, serikali ya CCM inajiweka mkao wa kibra, na kudhoofisha taasisi zetu za mahakama na kuondoa imani ya umma.

Tujiulize tu, ikiwa mahakama za Ufaransa zilipewa heshima na uhuru wake, kwanini nchi yetu haistahili kuheshimiwa?

Hivi mnajua athari za kuingiliwa-uhudhurio wa mabalozi-Kidiplomasia?

Wananchi tukemee na kutoa msimamo mzito, kwamba:
ili kuondoa unafiki na unduminakuwili huu, Serikali ni lazima ichukue hatua madhubuti:

Kuwafukuza mabalozi wote watakao ingilia masuala ya mahakama kutatuma ujumbe kuwa-our National sovereignty is non-negotiable

Wazuiliwe kufika mahakamani kuhakikisha kwamba haki inatolewa bila giliba kutoka nje.

Serikali idai mabalozi hao kuzingatia kanuni za kutoingilia kati masuala ya nchi yetu.

Diplomacy should not be an Instrument of coercion, yani kama wanathamini " 'true diplomatic intergrity' ",respect for sovereignty must be upheld universally-not just when politicaly convinient.
 
Kaimu Balozi wa Marekani na Mabalozi wote wa Nchi za Jumuiya ya Ulaya waliopo Tanzania Watahudhuria kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu

Kwani huko Mahakama mnaficha nini Ndugu? Hili giza litawaangamiza nyie wenyewe
 
Umeonesha una uwezo mdogo sana wa kufikiri! Au uchawa umepanda kichwani na kuuvuruga kabisa ubongo wako. Kwa sababu hata Rais wako akisoma hiki ulichokiandika hapa, atagundua kabisa amekosa mshauri! Lakini pia humtakii mema.

Eti Taifa letu huru la Tanzania!! Ni tangu lini kwa mfano mlikuwa huru kama Taifa? Unaufahamu Ukoloni Mambo leo kweli?
 
Mbona unajikanganya?
Uchawa halafu tena simtaki mema?

Wafukuzwe
 
Kwanini uhudhurio wa mabalozi hawa lazima upingwe.

Soma pia

Kaimu Balozi wa Marekani na Mabalozi wote wa Nchi za Jumuiya ya Ulaya waliopo Tanzania Watahudhuria kesi ya Uhaini inayomkabili Tundu Lissu

Katika miaka ya hivi karibuni, mabalozi wa kutoka Ulaya wamekuwa wakivuka mipaka yao wakiingilia michakato ya kisiasa na ya kisheria, serikali na mahakama kwenye Taifa letu huru la Tanzania huku wakipuuzia yanayojiri katila nchi zao.

Umduminakuwili huu uliyoonyeshwa waziwazi na kesi iliyomkabili Marine Le Pen mchini Ufaransa-ambapo hukusikia ama kuona mabalozi ama wanadiplomasia wa kigeni wakihudhuria-inazua swali la msingi:

Kwanini Wanadiplomasia hawa hawa wanataka kuhudhuria kesi ya Uhaini ya Tundu Lissu na wenzake?

Watanzania wenzangu na wananchi wote wazalendo: Kufukuzwa kwa mabalozi hawa watakaohusika katika uingiliaji huu wa kimahakama sio tu utawatumia ujumbe kwamba waheshimu Charter ya Umoja wa Mataifa-Principles of Non-interference in domestic affairs, na sheria na kanuni zingine zinazoongoza wajibu wa Mabalozi hao wakiwa nchi za kigeni. e.g Montevideo Convention on the rights and duties of states, bali ni hatua ya lazima ili kulinda uhuru wetu, uhuru wa mahakama, na utawala wa kitaifa.

Wananchi, kwa kuruhusu mabalozi hawa kutoka Ulaya kuwa na ushawishi juu ya masuala ya kisheria, tena ya ndani, serikali ya CCM inajiweka mkao wa kibra, na kudhoofisha taasisi zetu za mahakama na kuondoa imani ya umma.

Tujiulize tu, ikiwa mahakama za Ufaransa zilipewa heshima na uhuru wake, kwanini nchi yetu haistahili kuheshimiwa?

Hivi mnajua athari za kuingiliwa-uhudhurio wa mabalozi-Kidiplomasia?

Wananchi tukemee na kutoa msimamo mzito, kwamba:
ili kuondoa unafiki na unduminakuwili huu, Serikali ni lazima ichukue hatua madhubuti:

Kuwafukuza mabalozi wote watakao ingilia masuala ya mahakama kutatuma ujumbe kuwa-our National sovereignty is non-negotiable

Wazuiliwe kufika mahakamani kuhakikisha kwamba haki inatolewa bila giliba kutoka nje.

Serikali idai mabalozi hao kuzingatia kanuni za kutoingilia kati masuala ya nchi yetu.

Diplomacy should not be an Instrument of coercion, yani kama wanathamini " 'true diplomatic intergrity' ",respect for sovereignty must be upheld universally-not just when politicaly convinient.
Hakuna haja acha waende tu
 
Acha waende tu

Mara nyingi ukiwaignore wanakua Kama pili milundo tu

Baada ya muda wanapoteza maana
 
The recall of Diplomats in judicial meddling is not an overreaction-it is a logical repsonse to violation of sovereingnty.

We must assert our judicial independence. We must remain free from external pressure.
Hawana cha kufanya hao jamaa Acheni wawe busy
 
Anza wewe mwenyewe. Kwani kuwatetea hao mabalozi ni tayari ushauzwa na ni mtumwa wa hawa watu wa Ulaya.

Nimejikomboa from mental slavery.
SIsi mbona hatuwezi watetea hao mabig. Sisi ni watu wadogo. Watajitetea wenyewe. Pili nchi yetu ilisahini sheria za uhusiano wa kimataifa. Kwa hiyo nyamaza. Ukiwafukuza jipange sawasawa.
 
Back
Top Bottom